Usafiri wa mwendokasi kituo cha KIBO ni kero kubwa

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
3,352
5,250
Wenye mamlaka ni vyema sasa mkatoka hadharani kutolea ufafanuzi hali ya usafiri katika kituo hiki cha KIBO.

Mara nyingi nyakati za asubuhi kuanzia saa 11 Hadi saa moja na nusu basi hazisimami kabisa kupakia abiria kwenye kituo hiki, nyingi zinakuja zimeshajaa na hazisimami.

Je kama mmeona kuna hiyo changamoto kwanini mnakata tiketi na wakati mnafahamu fika kwa huo muda gari zenu hazisimami kuchukua watu? Badala yake abiria wanaishia kuchelewa wanakokwenda na wengine kuishia kuingia gharama za kutafuta usafiri mwingine na huku tiyari wameshakata tiketi zenu?

Tafadhali tatueni hili tatizo na ni vyema kama mmeshindwa basi kituo hiki kifungieni maana mnakatisha tiketi wakati huduma kwa huo muda haipo, hiyo haina tofauti na Wizi kuaminiwa, maana mnakata tiketi huku mkijua fika usafiri hakuna.

Cc: DART Mwendokasi
 
Kuna kitu Cha kuangalia hapo kama Mabasi yameonekana Kuna changamoto, serikali iruhusu madala Costa zisaidie kutoa usafiri usafiri uwepo Kwa muda wote watu waweze kuwahi makazini na kwenye shughuli mbalimbali.
 
Hicho kituo ni kero kiukweli, watu huwa wanakata ticket kisha wanatoka nje baada ya kukosa usafiri, na ukitoka nje inabidi upande tena magari mawili kama unaenda mjini hivyo mtu analipa nauli mara tatu sasa hizi mamlaka sijui ziliondoa route za daladala za kwenda mjini kwa nini wakati hahwawezi kumudu watu wote.
 
Ila yote kwa yote DART wameshindwa kufanya kazi inavyopaswa na serikali imekataa wawekezaji binafsi kuwekeza ili huduma ziwe bora, ukiangalia usafiri wa mwendokasi watu wanavyoteseka asubuhi na jioni ndio tunaona namna serikali yetu isivyo na huruma hata kwenye mambo ambayo wangeweza kuruhusu mwekezaji au kusimamia ubora wa DART kwani vyote viko ndani ya uwezo wao, ndiyo hatuwezi kuwafanya kitu ila at least mtuzingatie kwenye vitu vidogo kama hivi.
 
Hicho kituo ni kero kiukweli, watu huwa wanakata ticket kisha wanatoka nje baada ya kukosa usafiri, na ukitoka nje inabidi upande tena magari mawili kama unaenda mjini hivyo mtu analipa nauli mara tatu sasa hizi mamlaka sijui ziliondoa route za daladala za kwenda mjini kwa nini wakati hahwawezi kumudu watu wote.
Ni kero sana na inatugharimu sisi
 
Tanzania watu wanalalamika sana wakati ukitumia akili unafika mjini pasipo kupanda hzo takataka mwendokasi...kwa mfano upo hapo kibo,kuna bajaji zinatoka kimara/mbezi unaweza panda mpaka manzese sh 500 tu then ukifika manzese unapanda zako daladala za makumbusho/k.koo 500 jumla 1000 wakati mwendokasi ni sh 750...yaaan 250 ndo ikufanye ugande kituoni masaa?...haya kuna wengine wale wa mbezi full kulalamika kila siku wakati pale mbezi mwisho hadi saa 11 alfajir kuna daladala zinazounga route kimagendo k.koo/posta zipo kwann mtu usiamke asubuh mapema ukaziwahi?...haya tuseme hutak kuamka asubuh sana why usipande zile bajaji za mbezi manzese sh 1000 ukishuka unapanda za k.koo ambayo jumla 1500..wakati ukisubiri mwendokasi mbezi ni 1000 mpaka mjini...
Ni kero sana na inatugharimu sisi
 
Back
Top Bottom