Tanesko :Tunayaangaza Maisha yako . Thread maalumu ya kero za huyu bwana

Light saber

JF-Expert Member
Nov 3, 2017
4,129
7,450
Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe ..

Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills .

Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni ipi?
What so special about twiga Mpaka awepo kwenye Shirika tata lenye majukumu Ya kizalendo na madhubuti kama Tanesko .
 
Baadala ya Twiga Tuweke hii kitu
OIG1.jpeg
 
Back
Top Bottom