RPC KILIMANJARO: Traffic anakusanyia rushwa, barabara ilipo nje ya ofisi ya RC geti la kutoka na geti la kuingilia DED wa Moshi Manispaa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Kuna askari traffic wawili wa kike ni wasumbufu na kero huko MOSHI MANISPAA.

Askari hao wanasumbua hadi magari ya serikali yanayoingia ofisi za mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa Moshi Manispaa.

Cha kufurahisha zaidi bendera inapepea nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa nao wanapokelea hapo hapo rushwa.

RPC Kilimanjaro ondoa askari wako kwenye eneo Hilo, ni kero Kwa wananchi, watumishi na ni aibu.
 
Uki muona askari yoyote muonee huruma sana wana njaa kali balaa.. usi ombe ukutane nao wajue una pesa wana geuka kua majambazi ..

Kuna siku natoka Arusha naenda moshi usiku ,nime fika kwenye check point wame nisimamisha nilkua na pesa nme jisahau nme weka kwenye kiti cha pembeni, Asee hawa mbwa ni majambazi bila kuepo na gari zingine nyuma nazani nnge waishwa kwa sir God au kufunguliwa case ya uongo .
 
Mi nahisi ni wao (hao askari) baadhi yao kujiendekeza,mtu anapokea mshahara yawezekana unakaribia mshahara wa mwalimu kabisa,katikati ya mwezi ana pesa ya chakula,ambayo ni 300000/=,bado marupurupu mengine ya mara kawapa escort watu wa TRA Kwa wale walioko mipakani,then useme huyo mtu ana njaa?
 
Back
Top Bottom