kero

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hasa Hazina Kuwawahishia Wanajeshi Mishahara Mwezi huu mnatusababishia Kero tu Mitaani Usiku huu

    Nashauri Krismasi zijazo ikiwapendeza muwe mnawapa ( mnawaingizia ) Mishahara yao Tarehe 24 tena Usiku ili angalau Mshahara ukae kae na hata Fujo za Kimatumizi nazo ziweze Kupungua. Kwa Kitendo chenu tu cha Kuwaingizia ( Kuwapa ) Mishahara yao Juzi Jumanne tarehe 22 kwa aina ya Matumizi na Bata...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Kaleman ifumue TANESCO Kyela ni kero na aibu kwa nchi

    Mheshimiwa waziri kyela hakuna umeme ni mwezi sasa, wanakata saa 12 asubuhi kila siku na kurudisha saa 3 usiku, watu wanahamasishwa wanunue generator na sola power, hii ni hujuma fumua uongozi wa Tanesco kyela,tunakuomba mheshimiwa waziri tunajua wewe ni mchapa kazi ila hawa watu wanakuangusha
  3. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

    Ndugu wanajamvi, Nimefika mjini Morogoro kwenye hekaheka zangu nikashangazwa na kitendo cha kuhamishia stand ya daladala kutoka katikati ya mji na kuipeleka karibu na Chuo Kikuu cha Sokoine umbali wa kama Km 2+. Ni jambo jema kuboresha huduma kwa jamii kutokana na kukua kwa mji, lakini...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dkt. Mwinyi atembelea bandari ya Malindi pamoja na Maruhubi kwa lengo la kutatua kero ya ucheleweshwaji wa mizigo

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar pamoja na eneo la Maruhubi kwa ajili ya kutafuta muwarubaini wa ucheleweleshwaji wa kutolewa kwa mizigo bandarini hapo. Ziara hiyo ya Dkt. Hussein Mwinyi ni ya kwanza...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Meneja kivuko cha Busisi-Kigongo, nakuburuza Mahakamani. Hii kero imekuwa sugu!

    Gati za pande zote mbili kwenye ardhi imekuwa ni kero ya muda mrefu sana kwa magari ya chini (saloon cars). Hiki kivuko ukiwa unaingiza gari au ukiwa unashuka, ni lazima ukwangue bampa la mbele la gari. Hata uwe makini namna gani kukwepa, lazima uburuze bampa! Mark X ya jamaa yangu ishawahi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Membe hakuja ACT (upinzani) kwa vile wamekerwa na dhuluma ndani ya CCM, bali kwa vile wamekosa matarajio yao, ndiyo maana wanakuwa kero walikohamia

    Membe ameleta sintofahamu ACT kwa kiasi fulani juzi. Sababu ni matamanio yake yalityomtoa CCM anaona kama vile yanapotea akiwa ACT. Alidhani, na ACT walidhani ni asset , angelileta ushawishi na kukijenga chama, kumbe ni matatizo! Upinzani ujifunze, Hawa watu wasipokelewe tena.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi reli za Arusha na Tanga walirekebisha kutumia kodi yetu ili kujifanyia kampeni maana treni hatuzioni na sasa zimekuwa kero za faini za trafiki

    Kuna vitu vinaudhi sana. Serikali ya CCM walifanya mbwembwe nyingi kusema wanafufua huduma ya treni kwenda Arusha na Tanga. Na tukumbuke walitumia fedha yetu ya kodi, sio fedha za CCM. Sasa ni wazi kwamba yote haya walifanya kwa ajili ya kampeni waliyotaka kufanya ya maendeleo ya vitu, ili...
  8. kunta93

    JamiiForums Tanzania Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

    Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa 1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini...
  9. msela wa mbagala

    JamiiForums Tanzania Kero: EATV, Star tv na Star times badilikeni mnatukera watazamaji

    Mimi ni mpenzi wa vipindi vya mijadala ya kisiasa na michezo, kwenye mijadara ya siasa nawaangalia sana ITV hata taarifa ya habari sijaona yenye mvuto kama ITV, na kwenye michezo nimeapa kumfata kokote atakapoenda maulidi kitenge kwahiyo nawaangalia wasafi na kuwasikiliza. Naomba Nikiri tu...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maombi, sala na dua za mke wangu ni kero kwangu

    Nina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu. Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi sijawahi kuvuta sigara, kunywa Pombe na hata uzinzi sio mzinzi, mke wangu ni mwanamke pekee kulala naye...
  11. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Kero ya misafara ya viongozi wakuu wa serikali: Mwananchi atoa neno zito "Ole wao dada yangu akipoteza maisha!"

    Kichwa cha uzi ni nukuu ya kauli ya jamaa yangu mmoja ambaye sasa hivi yupo likizo huko kijijini kwao mkoani Songwe. Jamaa yangu huyu ananitaarifu kuwa asubuhi ya leo alikuwa amejihimu mapema kumuwaisha hospitali ya mkoa dada yake ambaye usiku mzima wa kuamkia leo amekuwa mahututi. Jamaa...
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu shughulika na kuhubiri Sera zinazoenda kuondoa kero za watu, malumbano yatakutoa kwenye reli

    Ukiwa kiongozi jitahidi Sana kutoongozwa na hisia au chuki. Watu wa Mpira wanajua jinsi ya kumfanya mpinzani awe na hasira ili akose utulivu mchezoni. Unamkumbuka beki kisiki Juma Nyoso au Forward Mkolofi Diego Costa. Sio lazma ujibu au ulumbane kila kitu muda NI machache Sana. Ukipita sehemu...
  13. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitano ya Magufuli, Serikali imeshughulikia kero mbalimbali za wananchi

    Na Debora C. Kiyuga ✍🏽 Mitano ya Magufuli, Serikali imeshughulikia kero mbalimbali za wananchi, hususan wakulima, wavuvi, wafugaji, wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiliamali na bila kusahau migogoro ya ardhi. Mitano ya Magufuli, kwa upande wa wakulima, wavuvi, wafugaji na wafanyabiashara...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mlimani City sasa hivi: Kero hii haikubaliki!!

    Sasa hivi ninavyoandika nimetokea njia ya Sam Nujoma, Ubungo kwenda Mwenge. Pale Mlimani City nilitaka kuingia na gari ili niingie benki. Kwanza nikakuta foleni kubwa toka mataa ya kuingia Sinza. Pili baada ya dakika 15 sikuweza kuingia Mlimani City kwa vile nimekuta polisi wengi na geti...
  15. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom umekuwa kero

    Mimi napata kero sana na Vodacom kwenye maswala ya mpesa na vifurushi vya maongezi. 1. Nimeshakatwaga songesha wakati sikuwa na deni 2. Nilinunua bundle la maongezi la mwezi dk1100 mitandao yote imepita wiki tu inaniambia la Vodacom limeisha. Worse enough uki report wanakuambia utapata majibu...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya miaka mitano ya CCM, wateule wa Rais Magufuli hawatatui kero za Wananchi. Hapa tatizo lipo wapi?

    Mimi Idugunde huwa sipendi unafiki hata kidogo. Ni kweli CCM imefanya makubwa kipindi hili cha awamu ya kwanza ya uongozi wa JPM. Lakini kuna kasoro moja kubwa sana imejitokeza kwenye utawala wa huu. Maana kila anapofanya ziara zake Rais Magufuli huwa anakutana na watu ambao wana kero ambazo...
  17. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Zingatia mambo haya unapopiga au kupigiwa simu ili usiwe kero

    Simu ni chombo muhimu sana cha mawasiliano lakini wakati mwingine kina weza kuwa karaha kutokana na sababu mbali mbali. A: Unapo mpigia mtu simu zingatia mambo haya. 1. Ukipiga simu ukiona haipokelewi kata usisubiri mpaka mtandao ukuambie kuwa simu yako haipokelewi. Usishikilie line muda mrefu...
  18. MGANGA WA KIENYEJI

    JamiiForums Tanzania Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Hii ni kero ya muda sasa katika Check Point ya Vijinga, Wilaya ya Mkinga, Mkoa wa Tanga, kwa abiria bila kujali vikongwe au wazawazito au wagonjwa wote kushuka chini wafikapo Check Point hiyo ili kukaguliwa vitambulisho vya kura au uraia. Kwa kweli mantiki yake haionikani kwani kwa mtu yoyote...
  19. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Shilingi mia tano imekuwa kero mtaani, maduka ya jumla wengi hawataki kuzipokea

    Tangia mabadiliko yafanyike ya pesa ya shilingi mia tano mwanzo ilikuwa ni noti lakini sasa ni sarafu, changamoto tunayoipata wananchi ni kwamba hii pesa imekuwa ni kero hasa zikiwa nyingi wenye maduka ya jumla wengi hawataki kupokea. Hivyo kusababisha kutokuingiza kwenye mzunguko; Mfano mimi...
  20. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Petrol stations Morogoro Road ni kero sana

    Sisi tunaotoka Kiluvya kuja mjini hakuna vituo vya mafuta njiani, wajenzi wa barabara wameziba njia zote za kuingilia vituoni. Mfano kituo cha Henry Filling Station kilichopo Chuo cha St. Joseph kuingia hadi upite Luguruni utembee rough road kama 1km to & from ndio uendelee na safari. Oilcom...
Back
Top Bottom