Tetesi: Polepole na Dkt. Hassan Abbas wanawatisha watu wa media

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Jamani wanaJF, nimepenyezewa ubuyu hapa na source yangu moja hivi kwamba ktk matukio 2 ya chadema; mkutano mkuu na uchukuaji fomu kule Dodoma. Polepole na mwenzake Hassan Abbas wamekuwa wakivipigia vyombo vya habari simu ili kuvikataza kurusha hotuba za Lisu

Kuna audio ya Polepole nimesikilizishwa (japo source amegoma kuirusha kwangu, hivyo sitoiweka hapa) na kuna namba ya simu ya Abbas na muda aliyopiga nimetajiwa.

Kama hii kitu ni kweli siyo uzushi, basi ni dhahiri shahili kwamba ccm na mawakala wao akina Abbas wana wasiwasi usio mithilika kiasi cha kukosa usingizi. Na hii inazidi kumpalilia njia Tundu Lisu

My take.
Kama Lisu ameshinda kifo cha risasi basi hata uchaguzi wa hila atashinda kwa kudra zake Mola. Amen!
 
Hapa na mm ndio huwa nashangaa, mnasema kuna nguvu ya umma(media nayo ni nguvu ya umma) Sasa nguvu ya umma inatishwaje??
 
Mtu mbaya anapata nafuu akifa punde tu baada ya kustahafu Mungu akimpa uhai mrefu ataona rangi zote anazowapa wenzake .
 
Ccm wanawakati mgumu kuliko hata 2015.. mtu mliyeona ana faa kuwapa ushindi hauziki.. miaka 5 amekuwa akiwa udhi wananchi kwa kauli zake za kebei na dharau..

Cha msingi ccm mjiandae kuiba kura nyingi zaidi ya zile mzilizo iba 2015.. mkizembea mkaiba kidogo Lissu atachukua nchi asubuhi.
 
Weka uthibitisho wa authentic audio ambazo Polepole na Abbas wakitishia watu. Vinginevyo we ni mnafiki ambae unatafuta kick tu.
 
Kitendo Cha kupona mauti mmemkosa lisu ni Jambo lingine ndio maana maisha yake yanavikwazo.
 
Lissu is inevitable. Yaani kampeni hazijaanza watu wana hofu namna hii, yakianza kurushwa makombora ya masafa marefu tena mbele ya maelfu ya wasikilizaji si wataugua presha hawa?
Media ziko kibiashara mnategemea mteremko, jinga kabisa.Kipindi cha uchaguzi ni cha kufanya biashara unategemea media zitumie mb zake kutangaza pumba za chadema. Zameni mfukoni mtaona media zitakuja kwenu
 
Back
Top Bottom