kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
  2. Gushleviv

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haki za Mtumishi wa Serikali aliyefukuzwa Kazi

    Wasalaam, naomba kujuzwa haki za mtumishi wa Serikali ambaye amefukuzwa kazi huku akiwa na Malimbikizo ya Mshahara ambayo hakulipwa. Je utaratibu ni upi? Na kipindi aliposimamishwa alikuwa akilipwa Nusu ya Mshahara je baada yabkufukuzwa analipwa kiasi cha nusu alichokuwa akikatwa wakati wa...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kazi ya Serikali sio kulisha watu, sitatoa chakula cha bure kwa wataokumbwa na njaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula. Rais Magufuli ametoa...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM yaanza kuzifanyia kazi hoja za Lissu

    Wadau wa Jf mnakumbuka wakati wa kampeni Lissu alipinga suala la wamachinga kupewa vitambulisho ambavyo havina picha wala majina. Sasa baada ya kuumbuka kwa kutoa vitambulisho ambavyo havina picha wala jina la mhusika Serikali ya CCM imeamua kujirekebisha baada ya Lissu kuwashambulia wakati wa...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, mikataba ya utumishi wa umma inasemaje kuhusu kufanya kazi part time?

    Kila mtu anajua kuwa mishahara ya watumishi wa umma ni midogo sana na kiuhalisia haikizi mahitaji ya kila siku. Watanzania wengi wapo kwenye utumishi wa umma sababu tu ni ajira ya kudumu na ukiwa nayo kiasi fulani unaweza kupoza rim. Hivi mtu anakuwa na net pay ya 350000 kwa maisha ya leo...
  6. Papaa Azonto

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa Waandishi wa kujitegemea -Wepostnow

    Wepostnow tuunatafuta waandishi wa kujitegemea kujiunga na timu yateu.Utaweza kupata hadi kiasi cha shilingi 460,000 kila mwezi (200$). Wepostnow inakupa nafasi ya kuandika kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza. Pia mfumo wetu unakupa nafasi ya kufanya kazi muda wowote ule kupitia simu yako ya...
  7. Stroke

    JamiiForums Tanzania Wanaoning'iniza vitambulisho vya kazi nje ya ofisi zao huwa wanamaanisha nini?

    Huwa nashindwa kuwaelewa jamaa ambao huwa wanatoka mazingira ya ofisi zao wakiwa bado wamening'iniza vitambulisho vyao. Yaani utawakuta mtaani wanatembea navyo hata huko migahawani bado wanavyo tu. Huwa inakua ni mikwara tu. Au ni Usongo baada ya kusota mtaani Bila ajira kwa muda mrefu Ama...
  8. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Hivi TANROAD mikoani mnafanya kazi gani?

    Hakuna kitu mnanikera kama mashimo yaliyoko lami ambayo yanadumu mwaka mzima. Mashimo yanaharibu gari, yanasababisha ajali mbaya Sana na kupunguza uzalishaji na nguvu kazi ya Taifa. Juzi nimepita njia ya Iringa Dodoma. Mashimo yaleyale niliopita mwaka juzi nimekuta yameongezeka hasa hasa...
  9. Slowly

    JamiiForums Tanzania Hizi Ikulu ndogo zilizopo kila mkoa kazi yake ni nini?

    Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi kuhusiana na mweshimiwa kujichimbia Wilayani Chato Kwa muda sasa, maneno ni mengi, wengine wanadai kakimbia Corona wengine wanadai mzee kaenda kupumzika home kwao baada ya purukushani za kampeni n.k.. Naamini kila mkoa kuna Ikulu ndogo, sijajua kama...
  10. Prisonerx

    JamiiForums Tanzania Sijaona umuhimu wa sekretarieti ya ajira kurudia majina ya waliopata kazi katika matangazo mapya ya kazi

    Niende moja kwa moja kwa mada. Inasikitisha na ni fedheha kwa taasisi kubwa ambayo iko chini ya ofisi ya Raisi kuwaongopea/ kuwahadaa watanzania katika kutenda haki katika kutoa ajira kwa Watoto wa maskini pasipo kuwa na ukiritimba wa namna yoyote. Leo nilikuwa nikipitia tovoti ya Sekretarieti...
  11. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Ndio! Mazingira magumu ya kufanya kazi; Ndio! Malipo ya chini; Ndio! Hata hivyo sio kisingizio cha kubaka na kushambulia wagonjwa na wanafunzi

    Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala. Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi amtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, wasema uchaguzi umekwisha sasa kazi tu!

    Waziri wa foreign affairs Prof Kabudi na watendaji wakuu wa wizara yake wamekutana na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar maalim Seif na kukubaliana kuchapa kazi kwa pamoja. Maalim Seif amesema uchaguzi umekwisha aliyepata kapata na aliyekosa amekosa cha muhimu ni watanzania kuungana pamoja...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TFF, Benchi la Ufundi la Taifa Stars huko CHAN 2021 nimeshamaliza Kazi kwa Kikosi hiki Namibia leo na Guinea Wiki ijayo wanakufa!

    ANGALIZO Tafadhali kisibadilishwe na pia Kicheze kama ambavyo nimekipanga kwani Kiunyangindo kimeonyesha Mafanikio na tutashinda mechi zilizobakia. Kikosi cha Kuanza kiwe hiki tu.... 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Yassin Mustafa 4. Ibrahim Ame ( kama bado hajapona aanze Dickson Job )...
  14. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kazi za machimbo Mererani

    Habari wakuu, Naomba mwenye taarifa au uzoefu na maeneo tajwa hapo juu kwa utafutaji Kifupi nilibahatika kuajiriwa na taasisi kubwa ya kifedha hapa nchini, mshahara haukuwa mbaya, nilitaka kubadili mazingira ya kazi na kujiajiri kwenye biashara, vile isivyo bahati nilifeli. Tangu hapo...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Wenye kuhitaji kazi za ndani fursa ndo hii

    Kampuni hii imejikita kuwatafutia mabinti wa kike kazi za ndani
  16. Kayoka

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tanzania Red Cross Society

    Dear All, This is for your information and action. Regards.
  17. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Database rasmi kwa ajili ya wote wanaofanya kazi zisizotegemea ujuzi wowote

    Hello JF, Kwa muda mrefu sasa malalamishi ya housegirls kunyanyaswa katika nchi za kiarabu kama Oman, Turkey, etc. yamekua mengi. Ninachoona hapa ni kutokua na taarifa ama records to identify those at risk. Kama ilivyo vitambulisho kwa wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga), then kuwe na...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji cha Hydom amshindilia makonde mwanakijiji. Asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji. Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
  19. ManziCute

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dodoma

    Niko Morogoro ila natafuta kazi yoyote katika mji wa Dodoma nina Elimu ya Diploma ya Business Admnistration nipo tayari kufanya kazi yoyote katika mji huwo. Mwenye connection yoyote plz anitafute 0782394214
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa kutafutia kazi watu nje ya nchi wa serikali na binafsi, fikirieni pia kutafutia watu kazi za msimu vijijini Ulaya, Marekani na Canada

    Kama ilivyo kwenye mashamba makubwa ya miwa Tanzania ya viwanda vya sukari kama Mtibwa, Kilombero nk ambako hutoa ajira nyingi mno za msimu kwenye mashamba yao vivyo hivyo Ulaya, Marekani na Kanada Ona kijiji hiki cha Thailand ambacho ambacho wanakijiji wake kila mwaka msimu wa kuvuna matunda...
Back
Top Bottom