Tume iliyoundwa na TAKUKURU kuchunguza ujenzi wa majengo 7 ya ofisi za taasisi hiyo , imekamilisha Uchunguzi

GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,431
19,776
BREAKING NEWS : Tume iliyoundwa na Brig Jen John Mbungo kuchunguza ujenzi wa majengo 7 ya ofisi za taasisi hiyo katika wilaya 7, imekamilisha uchunguzi na kugundua kuwepo ubadhirifu na migongano ya kimaslahi. Amesema wahusika watachukuliwa hatua ikiwemo kufikishwa mahakamani.

NOTE: Hapo kwenye mgongano wa kimaslahi hapo ndo sehemu nzuri wanapofanyiaga ubadhirifu kwa kutumia kampuni zao/ za watu wa karibu kuwalipa hela nyingi kuzidi thamani ya bidhaa/ hudumu baadae wanaenda kuchukua chao

Ngoja tusubiri wapelekwe mahakamani tutajua mchele na pumba

TAKUKURU ng'ata, ng'ataa....... ni zamu ya kung'ata humo humo ndani yenu
2B456530-6F1E-4476-9707-75806B53383D.png
 
Watu wameanza kutolewa kafara make kuna waajiriwa waliokuta ujenzi umeshakamilika. Achaneni na force akount watumishi wa Umma mtatolewa kafara sana.
 
Back
Top Bottom