Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri

Magical power

JF-Expert Member
Sep 27, 2022
356
1,605
1. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri, awe anajiheshimu. Asuchepuke. Awe anawahi kurudi nyumbani. Ajue mahaba, asiwe MUONGEAJI, asiwe na maneno makali. Awe mpole. Anajua mahaba.

Wanawake WANAOTAKA WANAUME hao
PUNDA
MIZANI
MBUZI
KAA

Au wenye herufi
A. M. Y. G. S. J. V. D. P

Au waliozaliwa tarehe:
1. 13. 25. 7. 19. 10. 22. 4. 16. 28.

2. Nataka mwanaume mcheshi, anayejieshimu, asiwe MUHUNI. Apendwe KWA tabia zake. Awe muaminifu. Awe anapendeza anajipenda. Hata kitandani awe vizuri kabisa. Kazi yoyote ilimradi rizki inapatikana. Hata akiwa yupo nyumbani ILA ANAMPANGO wa pesa. Hata chini tutalala.

Wanawake wenye Nyota
NG'OMBE
NG'E
MAPACHA
MSHALE

Au wenye herufi
B. N. Z. H. T. C. O. I. U.

Au waliozaliwa tarehe
2. 14. 26. 8. 20. 3. 15. 9. 21. 29.

3. Mimi nampenda sana mwanaume aliejiwekeza. Au awe na malengo makubwa. Ila nikimpata na mimi nitapambana humo humo na mimi nipate changu. Maana huko mbele akibadika na mimi nina cha kuegemea.

KWANZA mwanaume sio wa kumuamini. Bora ujenge kwasiri siri asijue Ili akikufukuza ujue ajakutumia bure.
Watu wanatuonaga tukipata WANAUME wenye hela na sisi tunajipambania hata kama mume ni mbunge. Tunaogopa kutoka patupu.

Wanawake wenye herufi
SAMAKI
MASHUKE
NDOO
SIMBA

Au wenye herufi
L. X. F. R. K. W. E. Q.

Au waliozaliwa tarehe
12. 24. 6. 18. 11. 23. 5. 17. 30.

By magical power
 
Kila kitu kinawezekana na unaweza kumpata wa hivyo
Ila ndoa ina changamoto zake
Kwa waswahili kusema ujenge kisiri, hapo ndio pagumu maana ni kama wizi tu
Na hii tabia ipo huko tu
Ila kwa jamii zingine wanawaza watawaachia nini watoto wao pindi watakapoaga Dunia

Najua wengi wanaona ni mbali sana kufa ila kifo ni mda wowote
Watoto ndio watakaotuangalia inabidi wawe na akiba yao
Nimejitahidi sana katika umri wangu wa kazi kulifanya hilo tu
Yaani akiba yote kwa watoto
Nakuombea kila la kheri ila kauli ya kujenga kisiri acha
 
1. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri, awe anajiheshimu. Asuchepuke. Awe anawahi kurudi nyumbani. Ajue mahaba, asiwe MUONGEAJI, asiwe na maneno makali. Awe mpole. Anajua mahaba.

Wanawake WANAOTAKA WANAUME hao
PUNDA
MIZANI
MBUZI
KAA

Au wenye herufi
A. M. Y. G. S. J. V. D. P

Au waliozaliwa tarehe:
1. 13. 25. 7. 19. 10. 22. 4. 16. 28.

2. Nataka mwanaume mcheshi, anayejieshimu, asiwe MUHUNI. Apendwe KWA tabia zake. Awe muaminifu. Awe anapendeza anajipenda. Hata kitandani awe vizuri kabisa. Kazi yoyote ilimradi rizki inapatikana. Hata akiwa yupo nyumbani ILA ANAMPANGO wa pesa. Hata chini tutalala.

Wanawake wenye Nyota
NG'OMBE
NG'E
MAPACHA
MSHALE

Au wenye herufi
B. N. Z. H. T. C. O. I. U.

Au waliozaliwa tarehe
2. 14. 26. 8. 20. 3. 15. 9. 21. 29.

3. Mimi nampenda sana mwanaume aliejiwekeza. Au awe na malengo makubwa. Ila nikimpata na mimi nitapambana humo humo na mimi nipate changu. Maana huko mbele akibadika na mimi nina cha kuegemea.

KWANZA mwanaume sio wa kumuamini. Bora ujenge kwasiri siri asijue Ili akikufukuza ujue ajakutumia bure.
Watu wanatuonaga tukipata WANAUME wenye hela na sisi tunajipambania hata kama mume ni mbunge. Tunaogopa kutoka patupu.

Wanawake wenye herufi
SAMAKI
MASHUKE
NDOO
SIMBA

Au wenye herufi
L. X. F. R. K. W. E. Q.

Au waliozaliwa tarehe
12. 24. 6. 18. 11. 23. 5. 17. 30.

By magical power
Umepatwa na mkasa gani! Si kawaida kwa mwanaume kutaka mwanaume hadharani.
 
Back
Top Bottom