Piga tipper mshangazi unaona unga unga (feacal pellets) kunako😁ya nn mwanga dim light bnMambo ya zamani hayo siku hizi ni full light zikianza kupigwa tuonane
🤣🤣🤣Eeeh shangazi umeuaMambo ya zamani hayo siku hizi ni full light zikianza kupigwa tuonane
Mwisho upate fungus sugu....mambo ni waziwaziPiga tipper mshangazi unaona unga unga (feacal pellets) kunako😁ya nn mwanga dim light bn
Taja umri wako, nitakupa mji uendeWajuzi wa mambo mtu akiweka taa ya rangi kama hii huwa anaitumia kwa kazi gani?
View attachment 2879860
Sisi wa Ngarenaro ni koroboi kwa kwenda mbele.Hiyo ni kama unakula huku umesinzia unaweza meza mende ukafikiri tende.Kaitumia kama mbadala wa bed lamp hiyo. Ni mbwembwe tu kuyabadili mahindi kuwa kande/ ugali.
Hiyo unawasha baada ya kula chakula, wakati wa kulala/ movie ndo unawasha.Sisi wa Ngarenaro ni koroboi kwa kwenda mbele.Hiyo ni kama unakula huku umesinzia unaweza meza mende ukafikiri tende.
Mambo ya uzungu sisi wa Ngarenaro hapana peleka Njiro na Uzunguni.
Kama mmefikia stage hii kwa Mashangazi, basi nitaendelea kumficha Bibi yenu Hadi mwisho 🤪Piga tipper mshangazi unaona unga unga (feacal pellets) kunako😁ya nn mwanga dim light bn
hiyo bed side light,ni pale ambapo unataka kuounguza mwanga,au mwanga wa rangirangi unawasha ni nzuri mno chumbaniWajuzi wa mambo mtu akiweka taa ya rangi kama hii huwa anaitumia kwa kazi gani?
View attachment 2879860
Bibi haguswi kbs tutamheshimu mpaka dkk ya 90Kama mmefikia stage hii kwa Mashangazi, basi nitaendelea kumficha Bibi yenu Hadi mwisho 🤪
"Namficha" song by Harmonize
😁😁Mwisho upate fungus sugu....mambo ni waziwazi