Msaada: Natafuta kazi fundi bomba

Brightly

JF-Expert Member
Apr 28, 2022
261
353
Habarii Wanajf, Mimi ni Mhitimu wa level 3 VETA mwaka 2023.
Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata kazi inayoendana na fani yangu hapo juu!!!
Nipo tayarii kufanya Kazi sehemu yeyote ndani ya Tanzania.
Nb: Naweza kazi na nina uzoefu wa kutoshaa!!!
 
Kaka ujuzii ni mtajii kaka jibrand wewe mwenyeweee life litaenda tyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom