Kwa waliooa tu, jambo gani au kazi za nyumbani,zinakupa shida pindi mkeo anapokuwa amesafiri na umebaki mwenyewe nyumbani mpaka zinafanya umkumbuke

Me sipendi kupika, hapo ndo napo muwaza wife , na kula mgahawani nako sipendi sababu mama lishe Wana waza faida chakula ni low quality, na kumpiga dudu. Kumpiga dudu muhimu sana .
 
Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza.
1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu.
Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
Aisee kazi mbili kwangu ni changamoto mnooo
1. Kufua
2. Kuosha vyombo

Kupika napika almost vyakula vyote mpaka pilau......mara nyingine hata akiwepo namwambia tulia hapo naingia jikoni mwenyewe leo na ana appreciate mapishi yangu , kasoro chapati tu

Kitu cha tatu ambacho kinanipa shida ni kumis sex aisee, huwa siwezi kukaa zaidi ya siku tatu bila kumgegeda wife
 
Back
Top Bottom