Bandari ya Dar es Salaam sasa inafanya kazi 24/7

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
304
518
Salaam Wakuu,

Kumekuwa na malalamiko mizigo kichelewa kutoka Bandari ya Dar es Salaam. Hali hiyo imeboreshwa kwani hivi sasa Meli kubwa zinaingia Bandari ya Dar es Salaam hata kama usiku wa Manane. Wqnafanyakazi muda wote iwe Jumamosi au Jumapili.

TPA imeelezwa kwamba, Mwezi wa 11 na 12 mizigo inakuwa mingi sababu ya sikukuu.

Hivyo jitihada zimeongezeka kuhakikisha mizigo inatoka haraka kwa kufanya meli ziingie na kutoka bandarini muda wote

Hii hali itaongeza tija katika payo la Taifa.

TPA wameanza kuonesha ubora wao wa utendaji. Hata utoaji Mizigo sasa hivi kasi limeongezeka.

Vipita hii Video uone kazi zinavyo fanyika

Pia, soma: DOKEZO - Bandari ya Dar kuna Urasimu, mizigo inatoka taratibu sana. Serikali, nini kinaendelea?
 
Salaam Wakuu,

Hakika Rais Samia anaongea kwa Vitendo, hapigi Kelele.

Hivi sasa Meli kubwa zinaingia Bandari ya Dar Es salaam hata kama usiku wa Manane. Wqnafanyakazi muda wote iwe Jumamosi au Jumapili.

View attachment 2878617
Kazi nzuri ya uwekezaji na uboreshaji uliofanywa na Rais mzalendo Samia
 
Salaam Wakuu,

Hakika Rais Samia anaongea kwa Vitendo, hapigi Kelele.

Hivi sasa Meli kubwa zinaingia Bandari ya Dar Es salaam hata kama usiku wa Manane. Wqnafanyakazi muda wote iwe Jumamosi au Jumapili.

Hii hali itaongeza tija katika payo la Taifa.

TPA wameanza kuonesha ubora wao wa utendaji. Hata utoaji Mizigo sasa hivi kasi limeongezeka.

Vipita hii Video uone kazi zinavyo fanyika
View attachment 2878617
Chawa!
 
Kazi nzuri bandari yetu, tuchape kazi usiku na mchana tuzidishe ufanisi.
 
Salaam Wakuu,

Kumekuwa na malalamiko mizigo kichelewa kutoka Bandari ya Dar Es salaam. Hali hiyo imeboreshwa kwani hivi sasa Meli kubwa zinaingia Bandari ya Dar Es salaam hata kama usiku wa Manane. Wqnafanyakazi muda wote iwe Jumamosi au Jumapili.

TPA imeelezwa kwamba, Mwezi wa 11 na 12 mizigo inakuwa mingi sababu ya sikukuu.

Hivyo jitihada zimeongezeka kuhakikisha mizigo inatoka haraka kwa kufanya meli ziingie na kutoka bandarini muda wote

Hii hali itaongeza tija katika payo la Taifa.

TPA wameanza kuonesha ubora wao wa utendaji. Hata utoaji Mizigo sasa hivi kasi limeongezeka.

Vipita hii Video uone kazi zinavyo fanyika

Pia, soma: DOKEZO - Bandari ya Dar kuna Urasimu, mizigo inatoka taratibu sana. Serikali, nini kinaendelea?
View attachment 2878617
Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Kazi iendeleeeee!
 
Pigeni kazi TPA
 
Serikali ya kipumbavu hii
 
Hali ya zamani ilikuwaje ndiyo tuweze kufurahi na kupongeza kwa usahihi
Utendaji chini ya kiwango, usalama mdogo wa mali za wateja, uchache wa magati, lakini vyote leo hii vimebadirika ufanisi umeongezeka, usalama wa mali za wateja ni wa uhakika, utendaji umeboreka ndio hayo tunaona hali kubwa za waranyakazi wanapiga kazi 24/7
 
Mkuu naomba kazi hapo najua ww ni kitengo hapo suma jkt port

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom