kakonko

Kakonko District is one of the eight districts of the Kigoma Region of Tanzania. It is one of the 20 new districts that were formed in Tanzania since 2010; it was split off from Kibondo District. Kakonko District is bordered to the north by Kagera Region, to the east by Geita Region, to the south by Kibondo District, and to the west by Burundi. Its administrative seat is the town of Kakonko.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Kakonko District was 167,555.

View More On Wikipedia.org
  1. Kabende Msakila

    Tabora, Kigoma na Burundi - tupaze sauti kwa Mama Samia - tupate Barabara ya Mambali (Tabora) kuja Kakonko (Kigoma)

    Salaam! Tukipata barabara mpya ya Kakonko hadi Mambali (Uyui) tutaokoa muda wa kusafiri, fedha na uhovu. Kwa kuwa tunapozungukia Kahama - Nzega - Tabora tunasafiri zaidi ya 400kms. Lkn pia tunapozungukia uvinza to Tabora tunasafiri takribani 413kms. Endapo Mama Samia atakubali na kusikia...
  2. Kabende Msakila

    Rais Samia, wananchi wa Kakonko tunaomba barabara mpya ya Kakonko (Kigoma) kwenda Mambali (Uyui)

    Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Philip Isdory Mpango Nawasalimu sana katika jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Baada ya Salaam hizi nachukuwa wasaa huu kuwaombea afya ya siha bora Wewe, Rais wetu kipenzi Samia Suluhu, Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa Kassim na viongozi wote wa nchi hii...
  3. Kabende Msakila

    Serikali, tufanye nini kupata mbolea ya kukuzia wilayani Kakonko?

    Serikali yetu ishukuriwe kwa mbolea ya ruzuku hususan ya kupandia iloletwa hapa wilayani Kakonko mwaka huu. Tuliipokea kwa kishindo lkn sasa changamoto kubwa ni mbolea ya kukuzia ambayo imecheleweshwa huku mimea ikiendelea kukua. Swali: Tufanyeje kupata mbolea ya kukuzia hapa wilayani Kakonko?
  4. Kabende Msakila

    Katibu Mkuu CCM, tusaidie haya wilayani Kakonko

    Kwanza nichukuwe fursa hii kukukaribisha - KARIBU SANA Pili, nikuombe utusaidie haya yafuatayo:- (a) Jumuiya za chama Hizi zianzishe miradi ya kiuchumi ili ziweze kuwa na nguvu za kiuchumi kwa ajili ya kupanua wigo wa utendaji kazi na kupunguza utegemezi kwenye chama - miradi ipo mingi sana...
  5. Kabende Msakila

    Kakonko, Ngara, na Biharamulo kataeni makao makuu ya mkoa kuwa Chato - Nyakanazi liwe pendekezo lenu

    MKOA MPYA NA MAKAO MAKUU MAPYA NYAKANAZI: Anaandika Msakila M Kabende - Economist KWA WAHESHIMIWA:- (i). Aloyce Kamamba - Mbunge wa Jimbo la Buyungu (ii). Ezra John Chiwelesa - Mbunge wa Jimbo la Biharamulo (iii). Ndaisaba G. Luhoro - Mbunge wa Jimbo la Ngara (iv). Fidel Chiza Nderego -...
  6. J

    RC Rose: Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya 5 Kakonko, Biharamulo, Ngara, Bukombe na Chato yenyewe

    Mkuu wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ombi la kuunda mkoa wa Chato likipita basu mkoa wa Geita utabakiwa na wilaya za Busanda, Nyang'wale na Geita yenyewe na Mbogwe RC Rose amesema mkoa mpya wa Chato utapokea wilaya 1 kutoka Kigoma na 2 kutoka Kagera. Kwa maana hiyo mkoa mpya wa Chato...
  7. Elia F Michael

    Mkurugenzi TEMEKE naye akamatwe na ahojiwe

    Mwananchi wangu wa Kakonko ambae,alikua ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nyang'wale Ndugu yangu Carlos Gwamagobe ameswekwa Rumande kwa Wizi na wenzake 5. Carlos namfahamu vizuri maana niliwahi kufanya nae Kazi Halmashauri ya Kakonko akiwa ni afsa Ustawi wa Jamii. Niliwahi kumwambia aache kula...
Back
Top Bottom