Tabora, Kigoma na Burundi - tupaze sauti kwa Mama Samia - tupate Barabara ya Mambali (Tabora) kuja Kakonko (Kigoma)

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,258
Salaam!

Tukipata barabara mpya ya Kakonko hadi Mambali (Uyui) tutaokoa muda wa kusafiri, fedha na uhovu. Kwa kuwa tunapozungukia Kahama - Nzega - Tabora tunasafiri zaidi ya 400kms.

Lkn pia tunapozungukia uvinza to Tabora tunasafiri takribani 413kms.

Endapo Mama Samia atakubali na kusikia kilio chetu cha barabara mpya ya Kakonko (Kigoma) - Mambali (Uyui) via pori tengefu la Moyowosi basi tutaweza kusafiri kwa kilomita takribani 205 tu kufika Tabora.
Faida za barabara hii mpya:

  • Kuongeza Ajira
  • Kukuza sekta zingine
  • Kuokoa muda wa kusafiri
  • Kukua kwa uchumi
  • Kukua kwa miji ya kandokando nk

Barabara hii itasaidia Watanzania wote, vyama vyote, na watumiaji toka nchi za jirani.
 
Salaam!
Tukipata barabara mpya ya Kakonko hadi Mambali (Uyui) tutaokoa muda wa kusafiri, fedha na uhovu. Kwa kuwa tunapozungukia Kahama - Nzega - Tabora tunasafiri zaidi ya 400kms.

Lkn pia tunapozungukia uvinza to Tabora tunasafiri takribani 413kms.

Endapo Mama Samia atakubali na kusikia kilio chetu cha barabara mpya ya Kakonko (Kigoma) - Mambali (Uyui) via pori tengefu la Moyowosi basi tutaweza kusafiri kwa kilomita takribani 205 tu kufika Tabora.
Faida za barabara hii mpya:-
# Kuongeza Ajira
# Kukuza sekta zingine
# Kuokoa muda wa kusafiri
# Kukua kwa uchumi
# Kukua kwa miji ya kandokando nk

Barabara hii itasaidia watanzania wote, vyama vyote, na watumiaji toka nchi za jirani.
Kazi imeanza,Samia anagusa Kila sehemu.

Tabora-Mambali-Bukene.

View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1706702160715464788?t=jok-cU-lqtFV_hRdnqPG4g&s=19
 
Back
Top Bottom