instagram

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wabongo watengeneza mtandao mpya wa kijamii unaoitwa "Be From BetaTQ" wenye kufanana na Instagram

    Siku za hivi karibuni mastaa na watu maarufu Nchini Tanzania wameonekana wakitangaza mtandao mpya wa kijamii unaoitwa "Be from BetaTQ", akiwemo mtangazaji wa burudani za michezo, Shafii Dauda na Mwanasiasa, Mwanaharakati na mtayarishaji wa vitabu Yericko Nyerere wameonekana wakishawishi wafuasi...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF, Patrice Motsepe aipongeza Mamelodi usiku huu wa manane

    Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake aweke private. Page ya Mamelodi sundowns fc nayo tunaisulubu hadi asubuhi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

    Habari wadau. ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako. Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao. Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Facebook na Instagram kuanza kuwalipa waandaji maudhui mitandaoni Africa kuanzia Juni 2024

    Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya. Kampeni hiyo inatarajiwa...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya njia zinazotumiwa kudukua mitandano ya kijamii

    Siku za karibuni kumekuwa na tabia ya badhi ya watu ku-hack, kudukua akaunti za facebook. na instagram kwenye mitandao ya kijamii. Watu hao wakishadukua hutuma picha za ngono na ukifuata link ili uone vizuri nawe wanakudukua. Watu hao pia hutumia watu promosheni tofauti tofauti ili washiriki na...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu ajitoa kwenye mtandao wa Instagram

    Habari za hivi punde ni kwamba mwanamuziki namba moja wa kike East Africa, Zuchu aka Zuu amejitoa Instagram. Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti wa kiislam anaependa sana kufanya ibada na ndio aliombadilisha Diamond kuwa mtu wa kufanya ibada...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niirejeshe pesa yangu iliyokatwa na instagram

    Huwa nafanya matangazo ya kulipia Instagram, Sasa nili boost post huwa inakua approved ndani ya masaa 24, Huwa wanakata pesa before post haijaenda hewan, Sasa niliset tangazo likae hewan siku 4 nikaweka $20 kilasiku $5 nilikagwa $23 hiyo 3$ ya vat Siku 4 Sasa zimepita tangazo lime exipire...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

    Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko. So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu. Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza. Karibuni.
  9. BelegheTV

    JamiiForums Tanzania Video & photo journalist, editor, tx operator, youtube & instagram moderator, straeming live on television, youtube & instagram, content creator

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nishafanyaga baadhi ya sehemu kama vile Africa Swahili TV, Dizzim TV and Online, Bongo5. Naomba kama Kuna mtu atahitaji mtu wa kufanyakazi kama hizo kwenye Television au Online Media hata moja wapo tuwasiliane kwa 0714525809 nina uzoefu...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

    Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako?? Kwenye wateja namaaanisha Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Nimepita Instagram account ya Fiston Mayele kuna kitu sikielewi naomba nielimishwe

    Kwanza niweke wazi Mimi hiyo Instagram huwa natumia zaidi Kwa ajili ya kusoma magazeti Kwa Millard Ayo. Ila baada ya Mayele kutrend na "majini" yake nimejaribu kupitiapitia account yake na nimeshangazwa na kitu kimoja. Fiston Mayele NI Mcongoman na Kwa sasa ni mchezaji wa Pyramid ya Masri...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

    Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants. Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

    habari wadau. hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi. mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mashabiki wamjia juu Mo Salah baada ya kuwatakia heri ya Christmas mashabiki zake Instagram

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri, Mo Salah amejiwa juu na Waislamu baada ya kuwatakia mashabiki zake heri ya sikukuu ya Christmas. Watu wametuma maoni ya kukebei na kusema kuwa hatakiwi kuwatakia Watu heri ya Christmas kwa sababu yeye ni Muislamu...
  16. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Kwanini kurasa za Instagram za Mawaziri, Wizara hata Ikulu zimezuia Direct Messages (DM)?

    Habari wadau? Katika ulimwengu wa sasa mitandao ya kijamii imekuwa ni nyenzo muhimu katika kufikisha ujumbe kwa haraka. Wakati mwingine jumbe hizi zinamanufaa makubwa kwa jamii ata nchi kwa ujumla. Nmejaribu kuangalia baadhi ya pages za instagram za wizara, mawaziri na hata wakuu wa wilaya...
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mrembo Loveness Tarimo anazidi kutrend Instagram, jinsia yake bado kitendawili wengi hawaamini

    Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake. Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka koromeo pia limekata kiume. Loveness anajihusisha na mambo ya body training ,yeye ni body trainer...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

    Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoandaa chakula, hasa kachumbari wanatakiwa kuvaa gloves

    Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu. Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Msanii Usher Raymond asikitishwa na mauaji ya Israel na Palestina, na kisha badae kufuta post hiyo huko Instagram

    Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa wanaume, wanawake na watoto huku akisisitiza kuhusu kuzingatia uhai wa Bindamu, katika maelezo...
Back
Top Bottom