Basi naona mitandao yote iliyoko chini ya Meta inasumbua, hata Instagram sasa hivi hapa imetoka kunigomea nikafikiri ni mtandao, nimerestart simu wapi wakati mitandao mingine kama Google, Youtube, JF na X nikiingia inakubali vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom