instagram

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya wananchi, Post ya TBC instagram na Facebook ikihoji 'Una sifa ya kupiga kura?' waapa bila mabadiliko hawapigi kura

    Wakuu Wazee wa mioto kutoka Instagram na Facebook wameruka na post ya TBC iliyouliza Je, una sifa za kupiga kura? Na hizi ndiyo comments zao Na hawa ni wadau wa Facebook wanataka uchaguzi huru na haki
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania James Comey ameandika kwenye Instagram 8647; je anaashiria nini?

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa FBI, James Comey alichapisha picha kwenye Instagram ikionyesha magamba ya bahari yakiwa yamepangwa kuunda namba 8647. Baada ya chapisho hilo, kulikuwa na mjadala mkubwa mtandaoni, hasa kutoka kwa wahafidhina, wakidai kuwa namba hizo zinaweza kuwa na maana ya...
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ni Aina Gani ya Watu Wanatakiwa Kufanya MATANGAZO YA KULIPIA? (Meta Ads – Facebook & Instagram)

    1. WAFANYABIASHARA WADOGO Unauza nguo, viatu, chakula, vipodozi, electronics, 👉 Kama unataka kuuza zaidi ya watu wa mtaa wako, unahitaji matangazo ya kulipia. 🟢 Ads zitakusaidia kufikia maelfu ya watu wanaohitaji bidhaa zako, unaweza kufanya hata bila kuwa na duka! 2. MACHINGA & MADALALI Wewe...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Dont waste your time to pay for " Sponsored Ad"on Facebook and Instagram. Sababu hii hapa👇👇

    Sponsored ad on Facebook and Instagram zilikuwa Zina work effectively 2017 kushuka chini. Kuanzia 2018 hapo ni kusua sua na by 2025 it doesn't work at all. Sababu ni hii hapo👇👇👇👇 Tajiri Mark Zuckerberg hataki wajasiriamali wadogo wadogo mpate financial break through. Hataki mtajirike kupitia...
  6. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Anayeuza account Tiktok, Instagram, Twitter, Facebook page

    Wapwa anayeuza Account Twitter x TikTok Instagram Facebook page Pesa ipo, Onyo Matapeli kaeni mbali.
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukuza biashara yako kwa kupata wateja wengi kupitia Meta Ads (Facebook & Instagram)

    Jinsi ya kukuza biashara yako kwa kupata wateja wengi kupitia Meta Ads (Facebook & Instagram) 1. Kwanza Inabidi uelewe Biashara yoyote duniani ina kanuni moja Sales = Attention + Trust + Offer Na matangazo ni njia ya haraka zaidi kupata "attention" kubwa kwa watu sahihi. 2. Lazima ujue...
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nafundisha kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu wengi sana kwa wafanyabiashara

    Kama unataka kujifunza kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu weng saana kama wewe ni mfanyabiashara utanichek inbox nikuunge kwenye group hilo la watu wenye nia hiyo tu 0743 257 669 Nichek whatsapp
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram

    Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram Jinsi nilivyobadirisha elfu 20 kuwa TSH 500,000 kwa kutumia tangazo moja tu la Facebook & Instagram kwa kuuza digital product (WhatsApp Automation Tool). Niliamua kujaribu bahati yangu kwa...
  10. Brojust

    JamiiForums Tanzania Bandiko la mwisho la Taita Instagram lenye maudhui ya Chama

    Kwa vijana wa kileo: Licha ya kutumia nguvu nyingi juu ya kutafuta haki, nakushauri jitengeneze Kwanza kiuchumi ukifuatilia baadhi ya Maisha binafsi ya viongozi wenu utaona Kuna kitu hakipo sawa. NB: Najua wakereketwa mtatoa povu sana ila habari ndio Hyo. Kumbuka pia Taita amemaliza kujenga...
  11. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, ukiona picha za Instagram za girlfriend/boyfriend wako akioa au kuolewa—utafanyaje?

    Tuseme upo kwenye Instagram zako unascroll tu kawaida, halafu ghafla unakutana na picha za pre-wedding au harusi ya mtu ambaye bado ni girlfriend/boyfriend wako—yaani hamkuachana rasmi, hamkujua mmemalizana vipi, lakini yeye anaendelea na maisha kama vile haukuwepo. Na picha zimepostiwa saa...
  12. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania Hii kitu ingewatokea wasanii wenu wa Tanzania dunia ingejua

    Habari za wakati huu natumaini mu wazima wa afya, Najua watu wengi humu jukwaani ni watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram na wengi wetu tunajua namna sahihi ya matumizi ya huu mtandao. Kuna feature inaitwa close friends hii imekuja miaka ya hivi karibuni mnafahamu inavyofanya kazi...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Meta Yaweza Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Instagram inaweka mfumo wa kuficha post za watu kwa kutumia Neno la Siri

    💭 Hivi utajisikiaje pale ambapo mpaka ukawa na Neno la Siri ndo utaweza kufungua post za watu kwenye mtandao wa Instagram?? 🥂 Instagram Iko kwenye majaribio ya kuweza kuachia mfumo mpya wa watu kuweza kuficha post zao kwa kutumia Neno la Siri. 💭 Mtumiaji atapaswa kufungua post za watu kama...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kuitumia instagram tangu 2016 baada ya kuona kuwa inakuwaje mtandao ninaokuja kuenjoy kutumia tena unani stress

    Kuna namna kama una akili nyepesi mtandao unaweza kukupelekesha sana, ukajihisi tumbafu kulingana na maisha unayoyaona mule, mostly ni kwa hawa vijana wadogo wa 16-27 Vijana wazuri tu wametokea kuchukia maisha yao ya kawaida na kupelekea kuwa pressured kubadili mienendo yao ili wafikie viwango...
  16. Barakha John

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Imeiga tena kutoka Tiktok & Instagram : Hili Litakushangaza ….

    #mwanakidigitali hii utaipenda … WhatsApp wamefanya mabadiliko makubwa kwenye Ststus zake na sasa unaweza kuweka muziki wowote unaotaka unapo post picha kupitia WhatsApp status 📌 Ona hatujasalimiana hata 😆 Mambo ni vipi #mwanakidigitali …. Najua swaumu itakuwa kali poleni kwa mfungo kwa wewe...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ukurasa wa Yanga na ukurasa wa Simba huko Instagram

    Amani iwe nanyi Huku Simba wakipost vitu vya msingi yanga wao wamekazania uchawa na kupiga picha ambazo hazina picha wala miguu Mimi yanga lakin huu wanaofanya yanga ni ushamba na ujinga
  18. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza ni familia ngapi zinakula na kunywa kwa kipato kinachopatika Facebook, instagram,whatsapp?

    To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp. Familia zetu zinakula na kunywa kupitia hii mitandao Tunauza bidhaa za mamilion , tunanunua bidhaa n.k God bless you makizigibagi.
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi , mtoto wako mfungulie Account Facebook ,instagram , twitter akizaliwa tu.

    Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu. Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia . Ili kulinda privacy za mtoto usiweke au kupost picha yake bila sababu. Mfano mtoto wa diamond anaingiza pesa nyingi tu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Account yako ya Instagram imekuwa hacked mpaka sasa sijaelewa imehackiwa kwa style gani

    Mimi ni mtu ambaye huwa sifungu link ninazotumiwa kama sijui imetoka kwa nani kwa sababu daily napokea emails kibao kutoka kwa mascammer. Pia akaunti yangu instagram haikuwa linked na email bali namba ya simu ambaye kimsingi nilishaipoteza so kama hata kutumiwa link zingeenda kule kwenye hiyo...
Back
Top Bottom