Nifanyeje ili niirejeshe pesa yangu iliyokatwa na instagram

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
454
Huwa nafanya matangazo ya kulipia Instagram,

Sasa nili boost post huwa inakua approved ndani ya masaa 24,

Huwa wanakata pesa before post haijaenda hewan,

Sasa niliset tangazo likae hewan siku 4 nikaweka $20 kilasiku $5 nilikagwa $23 hiyo 3$ ya vat

Siku 4 Sasa zimepita tangazo lime exipire bila kwenda hewan na pesa yangu walishaichukua

Nifanyeje niludishiwe pesa yangu jaman
 
Umeona hapo hela imeshakatwa na wameshaichukua ila haijatumika mfumo siku hizi umebadilika
20240308_220416.jpg
 
Yaan bado lipo pending halijawa approved Hadi zile siku 4 zimepita ambazo niliset
Hamna sikuizi naona wanashida. Hawatoi msg ya kusema approved. Af hio unaona halipo hewani ni kwamba hujapata simu za wateja ila tangazo limeenda😀😀.
Sometimes Instagram unaweza tangaza usipate chochote. Pole sana hela hawarudishi wale zaidi zaidi watakwambia tupe feedback umeonaje af wanakuacha feli apo😀😀
 
Back
Top Bottom