instagram

  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mrembo Loveness Tarimo anazidi kutrend Instagram, jinsia yake bado kitendawili wengi hawaamini

    Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake. Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka koromeo pia limekata kiume. Loveness anajihusisha na mambo ya body training ,yeye ni body trainer...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

    Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoandaa chakula, hasa kachumbari wanatakiwa kuvaa gloves

    Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu. Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Msanii Usher Raymond asikitishwa na mauaji ya Israel na Palestina, na kisha badae kufuta post hiyo huko Instagram

    Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa wanaume, wanawake na watoto huku akisisitiza kuhusu kuzingatia uhai wa Bindamu, katika maelezo...
  5. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Posho itatolewa: naomba msaada wa kuadd custom location kwenye instagram.

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  6. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Posho itatolewa: Naomba msaada wa kuadd custom location kwenye Instagram

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Nimepata followers laki 2 na elfu 80+ instagram kwa sababu ya kukomenti tu

    Wakati wa vuguvugu la corona niliamua kufungua account ya ziada instagram kwa ajili ya kuwa huru kukomenti chochote. Fast forward now account yangu ina followers laki 2 na 80. Nimepata followers hao kwa sababu ya kukomenti tu kama ' Xavier" wa Quora. Kila nikicomenti kwenye trending...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Threads ya instagram imechukua mfumo wa JamiiForums

    Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao. Hili si wazo geni kwa WanajamiiForums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
  9. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Mtandao upi mzuri kutangaza kwa kulipia Tanzania, kati ya Facebook na Instagram?

    Habari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Msanii/Mtanzania yeyote anayemfikia Kili Paul kwa likes na comments Instagram, na wala haringi

    Huyu Mwamba anatisha sana huko Instagram anafikisha likes Milions na Comments nyingi, kuliko kina Diamond na wala haringi, wala Watanzania hawamjui kivile. Big up sana Mwamba kwa ubunifu uliotukuka.
  11. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kuwa na followers Wengi Instagram hakuna faida?

    Nilikuwa naangalia wasanii wenye followers Wengi nimeshangaa kuona Zuchu kazidiwa followers na wasanii Wengi wa kike lakini wasanii hao Wana "struggle"... kulinganisha na Zuchu ..imenishangaza sana. Nilifikiri sanaa ya sasa kuwa na followers Wengi ndo kila kitu. Unauza chochote na unapata...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Most Followed Female Musicians On Instagram

    Most followed female musicians on Instagram.
  13. January_graphics

    JamiiForums Tanzania Hivi hii alama ya kijani kwenye Instagram akaunti yangu (video call icon) kina maana gani?

    Nahisi pengine nimedukuliwa akaunti yangu ya Instagram
  14. Apollo

    JamiiForums Tanzania Instagram inaweka sehemu ya kurekebisha ujumbe wa DM

    App ya Instagram inaweka sehemu mpya ambayo itawezesha watumiaji kurekebisha ujumbe wa DM. Kwa sasa Instagram haina sehemu ya kurekebisha (edit) ujumbe katika sehemu ya DM. Endapo kama ukituma ujumbe, utaona hakuna sehemu ya ku-edit, sehemu ambayo ipo ni "unsend" ambayo inafuta ujumbe ambao...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo afikisha wafuasi Milioni 550 Instagram

    Mshambuliaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amefikisha wafuasi (followers) Milioni 550+ kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram. Ronaldo ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa Instagram Duniani
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tiki ya bluu Instagram, Facebook kupatikana kwa kulipa

    Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
  17. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya 1: Namna ya kuweka matangazo ya kulipia kwenye mitandao ya kijamii (Facebook Ads na Instagram Ads) hatua kwa hatua

    Imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wengi kufanya matangazo yao kwa ajili ya kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia mitandao ya kijamii (Hasa hasa facebook na instagram ambayo ndio imekuwa inawatembeleaji wengi zaidi). Nitaonesha hapa hatua kwa hatua namna ya...
  18. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua jinsi ya kulipia matangazo Instagram naomba msaada wako

    Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo. Mwaka jana nilifungua account nikapromote tangazo na likawa limepata viewers wengi sana lakn jinsi ya kuwalipa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi: Hatarini kufungwa miaka 10 jela kwa kuposti kuhusu vita Instagram

    Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine. Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Simba waipiga Spana Yanga Instagram kwa kutumia logo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Back
Top Bottom