Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
434
1,967
habari wadau.

hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi.

mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi yako ama biashara ya kuafford kumtunza girl friend. na girl friend nae akakupenda utajiona dunia ni yako.

na kwa mwanamke pia vile vile ukipata mwanaume anaekupenda kijana mwenzako utajiona dunia ni yako

View attachment 2860267
Hao wapuuzi wanatafuta attention huenda wamepigika kimaisha.

Ulishawahi ona wapi couples wanafanya maonesho mitandaoni? For what?
 
Haha watu nyiee jamani
Nimeona kesho wana interview Azam Tv

Hela siku hizi ipo kwenye mtandao.

Ukijibrand vizuri na kitu chochote unapiga hela.

Hiyo couple wajanja.. wanakuza brand waanze kupiga hela kwa dili za influencers.

Zama hizi ukiwa na aibu inakula kwako.

Ukitaka hela za haraka ni dominate mtandaoni.. hakikisha una trend kila mara
 
Wacha watu wakule Maisha na Maisha sio magumu kama tunavyofikiri.
Tupunguze kukaza mafuvu...
Kuna Afande Chuga huko kamtegea mumwe mapanga bahati mbaya Sir.God kakataa okoto la mapema kwa Bwana yule..

Vijana wacha wadekeane...mana wanaume wengi ni ubwabwa now days.
 
TikTok sijawahi kuielewa sijui nimeichelewa kuijoin au vp.
Any way nimecheki hizo clips on ila hao madogo bado sana nadhani ni for the sake of content...mi nna 3 kids ila ningesema niwe napost ningenyoosha wengi kumbe japo life langu la kawaida tu
 
Back
Top Bottom