Baadhi ya mashabiki wamjia juu Mo Salah baada ya kuwatakia heri ya Christmas mashabiki zake Instagram

Mo ni muungwana sana sana,kila mwaka huwa anatuma ujumbe wa X mass,kila mwaka anadhihakiwa na kila mwaka anajadiliwa Jf kwa hili. Na sio kwamba hutuma ujumbe tu wa X mass,husherehekea X mass yeye na familia yake. Mwaka huu katumia ujumbe wa X mass kukemea vita vya Palestine na Israeli. Usipomwelewa Mo salah katika hili,hujayaelewa maisha bado.
 
Hao ni wajinga fulani duniani, kwanza wajue huyo muislam mwenzao anachezea timu na ligi yenye kila sifa zote za kuwa kinyume na dini yao. Kila msimu wa krismasi huwa hawaachi kum dis huyu mwamba kwa kutoa salama za krismasi kwa mashabiki zake wa liverpool, ni wapuuzi sana, wanadhani mashabiki wa mo salah ni waislam tu.
 
Mo ni muungwana sana sana,kila mwaka huwa anatuma ujumbe wa X mass,kila mwaka anadhihakiwa na kila mwaka anajadiliwa Jf kwa hili. Na sio kwamba hutuma ujumbe tu wa X mass,husherehekea X mass yeye na familia yake. Mwaka huu katumia ujumbe wa X mass kukemea vita vya Palestine na Israeli. Usipomwelewa Mo salah katika hili,hujayaelewa maisha bado.
Huo ungwana wa wa Salah ww unao kwa watu wa dini nyingine?
 
Ww jamaa kichwa chako kimejaa udini kila saa kutaka watu wajadili udini tu.
Yaani ww ikipita siku bila kuongelea mambo ya dini hujisikii kama unaishi.
Hizi content ndizo zina interaction kubwa, siwezi kuweka post isiyokuwa na interaction....

Nilishaposti Content kibao hazikupata interaction, nilivyopost ya mambo ya Dini ikapata interaction kubwa basi nikaamua kukaa upande huu... Pia fahamu watu wote hatuwezi kufanana, mimi sio mwanasiasa nipost mambo ya siasa, ukitaka post za aina fulani nenda kwenye majukwaa husika, usilazimishe tufanane. Mimi nimechagua upande huu
 
Kila mwaka huwa anatuma ujumbe wa Christmas nakumbuka kuna mwaka alivaa nguo za Christmas like Santa yeye na familia yake. Alitukanwa bana lakini always huwa ni mkimya
 
Hizi content ndizo zina interaction kubwa, siwezi kuweka post isiyokuwa na interaction....

Nilishaposti Content kibao hazikupata interaction, nilivyopost ya mambo ya Dini ikapata interaction kubwa basi nikaamua kukaa upande huu... Pia fahamu watu wote hatuwezi kufanana, mimi sio mwanasiasa nipost mambo ya siasa, ukitaka post za aina fulani nenda kwenye majukwaa husika, usilazimishe tufanane. Mimi nimechagua upande huu
Basi jadili dini inayo kuhusu acha kuwashwa washwa na dini zisizo kuhusu.
Ww mjadili papa kuhalalisha ushoga , jadili manabii wenu huko,jadilini wingi wa sadaka kwenye makanisa yenu, masuala ya kuanzisha mada za kudisi dini za watu wengine acha.
Kila siku uislam kuujadili waislam utadhani walisha kuharibia kitu chako acha udini.
 
Back
Top Bottom