Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.

Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over.

Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.

Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants.

50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..

Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.

Mimi nilianza kwa kusema

"People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an everage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet"

Hapa wakaja na hoja kama vile "50 is not an evarage guy" blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇

' African Americans too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegally . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"

Outcome :

1. Wengi wao walikosa majibu.

2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.

3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu mamia kwa mamia.

4. Nimepata follows elfu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.

Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao.. very hopeless kabisa
 
Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants. Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over. Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.

Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants. 50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..

Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.

Mimi nilianza kwa kusema " People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an evarage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet" Hapa wakaja na hoja kama vile 50 is not an evarage guy blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini

' African American too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegaly . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"

Outcome :

1. Wengi wao walikosa majibu.

2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.

3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu man is kwa mamia.

4. Nimepata follows eldu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.

Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia Nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao..
Wahamihaji haramu wanakuwa vipi
 
Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants. Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa kuwa predominantly occupied BY African Americans now African Immigrants ndio wana take over. Kwa mfano pale New York , the Bronx and Staten Island zimekuwa kama Lagos. Soon zitaanza kuitwa jina New Lagos or something.

Back to the topic. Picha lilianza kuhusu post ya 50 Cent' s reaction about the news that California Government is offering free healthcare to un documented immigrants. 50 anahoji how comes mnatoa free health care kwa un documented immigrants wakati wamarekani weusi wana ishi in abject poverty..

Wamarekani weusi kama kawaida yao waka anza kuiponda serikali ya serikali ya California huku maelfu ya immigrants hasa hasa wa Mexico na baadhi kutoka Nigeria wakiiunga mkono serikali ya California kwa hoja zenye mashiko.

Mimi nilianza kwa kusema " People in the government of California who have passed that decision are experts who know better than an evarage guy like 50 Cent who all he knows is just rapping and trolling his fellow black people on the internet" Hapa wakaja na hoja kama vile 50 is not an evarage guy blah blah blah then nikawatwanga na bomu hili hapa chini👇

' African American too are illegal immigrants cause they were shipped from Africa illegaly . Trans Attlantic Slave trade was illegal ab initio"

Outcome :

1. Wengi wao walikosa majibu.

2. Baadhi yao walikubaliana na hoja yangu.

3. Immigrants waliunga mkono hoja yangu man is kwa mamia.

4. Nimepata follows eldu 3 na ushee kwenye page yangu ya instagram courtesy to my comment.

Tangu niwe karibu na hawa watu Nimetokea kuwadharau sana.. pia Nina washangaa sana watanzania ambao bado wana washobokoea hawa watu na culture yao..
Wewe na waliokuunga mkono mna uelewa mdogo juu ya suala la uraia na sheria za nchi husika, kila aliuekuwepo 9/12/1961 alihesabika kuwa raia wa Tanganyika, hao watumwa wa afrika bado watumwa tu huko America?.. hao weupe siyo wazungu wa ulaya!? Kama hukujitambulisha mtanzania huko nashukuru hukutuaibisha
 
Yaani nchi yako inapumulia mashine uko busy na Marekani are you serious?Shule zako tu zile unazisifiaga hazina vitabu Wala walimu unashindana wamarekani...maajabu!
Tatizo huna exposure ndio maana unawaona wamarekani weusi watu wa ajabu sana. Nyie ndo mnakuwaga mashoga kwa sababu mmesikia wamarekani wanaliwa 0713. Sio kosa lako lakini.
 
Wewe na waliokuunga mkono mna uelewa mdogo juu ya suala la uraia na sheria za nchi husika,kila aliuekuwepo 9/12/1961 alihesabika kuwa raia wa Tanganyika,hao watumwa wa afrika bado watumwa tu huko America?..hao weupe siyo wazungu wa ulaya!?..Kama hukujitambulisha mtanzania huko nashukuru hukutuaibisha
Kwa muktadha wa Uzi huu wewe pia ni mmarekani mweusi
 
Back
Top Bottom