Hizi ni baadhi ya njia zinazotumiwa kudukua mitandano ya kijamii

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Siku za karibuni kumekuwa na tabia ya badhi ya watu ku-hack, kudukua akaunti za facebook. na instagram kwenye mitandao ya kijamii.

Watu hao wakishadukua hutuma picha za ngono na ukifuata link ili uone vizuri nawe wanakudukua. Watu hao pia hutumia watu promosheni tofauti tofauti ili washiriki na ukiingia tu wanadukiua. Sasa suluhisho hili hapa.

Kuna njia nyingi za kudukua akaunti ya mtu ikiwemo hizo ulizotaja pamoja nyingine kama;
  1. Kufuata njia za kurudisha password iliyosahaulika ambapo FB wameweka utaratibu wa kutumia marafiki watatu kusaidia kurudisha akaunti yako ambapo anaweza kuanza kukuomba urafiki kwa majina tofauti tofauti ili baadae aweze kutumia.
  2. Kuweka wazi taarifa nyingi muhimu za kwenye profile ambapo ni rahisi ku guess password mfano kuweka wazi namba ya simu, email nk ambapo anaweza kuanza kwa kuhack email uliyotumia kusajilia fb.
  3. Kutumia njia za kitaalamu (hacking tools) ambapo anaweza kuhack pasipo hata kutumia kujua password yako. Njia hii hutumiwa na watu wachache wenye utaalamu katika eneo hilo.
  4. Kutoimarisha setting za akaunti yako hasa kuweka two factor authentication kama wanavyofanya Gmail ambapo ili uweze kulogin lazima utumie combination ya njia mbili yaani password na kitu kingine mfano kutumia simu au kutumiwa code kwa simu.
Jinsi gani ya kujikinga
  1. Kuimarisha setting za akaunti yako kwa kuficha taarifa muhimu, kuweka two factor authentication na kuacha kusave password katika vifaa tunavyotumia mfano simu au kompyuta.
  2. Kutumia password ngumu ambapo inakuwa sio rahisi kubashiri ie tuache kutumia namba ya simu au majina yetu au ya watoto.
  3. Kuweka setting za kuzuia tagging na mtu yeyote kupost kwenye akaunti yako.
  4. Unapotumia simu yako sehemu za watu wengi mfano kwenye daladala punguza mwanga wa simu yako (brightness) wakati mwingine mtu anachungulia.
  5. Kuacha kuwaazima watu kutumia simu yako kuingilia kwenye mitandao ya kijamii.
Na nyingine nyingi zilizopo
  1. Anakutumia link ya kitu flani eg video ukibonyeza hiyo link anapata access yakubadilisha password yako (password reset code)nakuweka yake.
  2. watu wengi wanapenda kuweka namba zao za simu kama password kwenye account zao ili asisahau kirahisi hii pia Ni hatari kwakua;
a) Kwa mtu anayejua namba zako za simu anaweza kujaribu kuingia kwenye account yako kwa kubahatisha.
b) kwa wale ambao wameweka namba zao pale kwenye "about" yao pia Ni moja wapo ya loop hole....ikiwa password Ni namba yake ya simu.
 
Okey Okey.
 
Back
Top Bottom