Facebook na Instagram kuanza kuwalipa waandaji maudhui mitandaoni Africa kuanzia Juni 2024

Wild Flower

Member
Jul 20, 2023
80
96
Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya.

Kampeni hiyo inatarajiwa kukamilika ifikapo robo ya kwanza ya 2025. lengo kuu la kampeni ilikuwa kutambua waundaji wa maudhui wanaokuja juu katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Aidha, mpango huo umeanza kutekelezwa nchini Afrika Kusini, Kenya, na Nigeria, ambapo waundaji wa maudhui wataanza kulipwa na mitandao ya Facebook na Instagram ifikapo Juni 2024. Hii ni baada ya makubaliano kati ya Maraisi wa nchi hizo mbili na Rais wa masuala ya kimataifa wa kampuni hiyo, Nick Clegg.

Masharti ya mpango huo, waundaji wa maudhui wanapaswa kuwa na angalau wafuasi 5,000 kwenye akaunti yao ya kibinafsi ya Facebook au wafuasi 10,000 kwenye ukurasa wa Facebook, na angalau video tano kwenye ukurasa wao. Rais Ruto ameitaka Meta kufanya malipo hayo kupitia M-Pesa.

Rais Ruto alipongeza hatua hiyo akisema italeta fursa mpya za kupata kipato kwa vijana wa Kenya, huku akitoa wito kwa Meta kuunganisha malipo na huduma ya M-Pesa.

Masharti ya mpango huo, ni wategenezaji maudhui anapaswa kuwa na angalau wafuasi 5,000 kwenye akaunti yake kibinafsi wa Facebook au wafuasi 10,000 kwenye ukurasa wa Facebook na angalau video tano za moja kwa moja kwenye kwenye ukurasa.

Kwa mujibu wa wataalamu wa tasnia, Facebook huwalipa waundaji wa maudhui kati ya $8 na $20 kwa kila views 1,000. Katika nchi nyingi za Afrika, malipo ya wastani ni chini ya dola 10 kwa sababu ya ukuaji mdogo wa masoko ikilinganishwa na nchi kama Marekani, Australia, Canada, na Uingereza.

===============================​
Content creators in Kenya will earn money from postings on Meta platforms Facebook and Instagram from June this year following a deal between President William Ruto and the social media firm.

In a dispatch following a meeting between the duo at State House Nairobi, the Presidential Press Service said the development is a culmination of a year-long push by the government to have creators earn from their online content, as it happens on other platforms such as YouTube and X.

“Kenyan content creators who meet the eligibility criteria will now earn from their Facebook and Instagram spaces as we start monetisation by June this year,” said Meta’s President of global affairs Nick Clegg.

On his part, President Ruto hailed the move noting that it will open up new income streams for Kenya’s young population while calling upon Meta to make the monetisation available on M-Pesa.

“Now content creators can begin earning from their imagination and creativity. I have kept my word to negotiate and get them fresh opportunities. We are banking on the digital space to create jobs for the millions of jobless youths in our country,” said Dr Ruto.

To qualify for the programme, a creator is required to have at least 5,000 followers on their private Facebook profile or 10,000 followers on a Facebook page and a minimum of five live videos on a profile or three on a page.

Video content posted on a Facebook profile must have a minimum of 60,000 total minutes viewed in the last 60 days from organic followers while for a page, the requirement is 600,000 viewed minutes within the same duration.

Per industry insiders, Facebook compensates content creators Sh1,074 ($8) to Sh2,685 ($20) per 1,000 views, and the average CPM (Cost Per Mile) in most African countries ranges in the lows of Sh1,074 – Sh1,342($10) because the marketing industry is underdeveloped when comparing it with countries like USA, Australia, Canada, and the UK.

The development comes at a time when fresh data from the Communications Authority of Kenya shows that Facebook has overtaken the instant messaging platform WhatsApp to become the most used social media application in the country, pointing to vast earning potential for creators once the monetisation feature goes live.

Some of the monetisation tools will include instream ads which are image or video advertisements that appear before, during, or after a content creator's video, offering a non-disruptive way for advertisers to reach their target audience while viewers engage with content.

SOURCE: BUSINESS DAILY
 
Je kwa hapa Tz fb na twitter ya zaman X wanalipa maokoto?
 
Back
Top Bottom