Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
434
1,967
Habari wadau.

ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.

Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.

Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china

kim_china_business_1711045189503.jpeg

Mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.

1711048003038.png

Japo kuna malalamiko ya Utapeli kwa wateja wao ila hayana mashiko maana polisi na mahakama zipo mbona hawafungwi jela

na pia ile Kuweza kumtapeli mtu tu ni kipimo kwamba wewe una akili nyingi.
wafanyabiashara wote ni matapeli wa kimya kimya.
Vodacomm wanakuuzia GB moja ila uhalisia wanayokupatia haitimii GB 1 ndio maana inaisha haraka haraka
Dawasco wanakuletea bili ya maji elfu 50 kwa mwezi na unalipa huku uhalisia maji uliyotumia hayazidi hata elfu kumi.

mfano hata wewe ukipewa hela na watu wengi wa mikoani ukawanunulie vitu kariakoo lazima tu utaweka cha juu chako. ama utawanunulia vitu vya bei nafuu ili faida yako iwe kubwa. hicho ndicho wanachokifanya hawa wadada kina KIM Business

Funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
 
Endelea hivyo hivyo kuamini kuwa hizo gari ni sababu ya niagize china.

Kinachojua ukweli wa mambo ni nyuchi zao.

Kajaribu wewe kuagiziwa china uone kama hutopauka kwa njaa.

uchi ungekuwa unanua ma range na kujenga majengo. warembo wote wangekuwa na hizo mali.

kuna wadada kibao wazuri wamejaa nchi nzima ila hawana chochote. na wengine wameshinda mpaka mashindano ya urembo kuonesha walivyo wazuri. kama uzuri unalipa mbona wazuri wengi hawana maisha

uchi hauwezi kukupa mali zaidi ya hela ya kula, kodi na mavazi. labda kidogo ungesema ndoa na tajiri ningekuelewa. ila sio kuuza uchi. hakuna mwanaume mjinga anaenunua uchi kwa hela za kununua range ama kujenga nyumba. hayupo
 
habari wadau.

ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.

instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.

mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china

View attachment 2941107

mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.

View attachment 2941115

bila kusahau na wadada wengine kazaa wanaofanya hiyo biashara.

funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
Tukuambie au Tukuache Mtoa mada kwa Taarifa yako hapo kuna aliyetajirika na unga kwa kupitia hicho kigezo cha kuleta hyo mizigo ya china na hata mtaji ni wa madawa
 
Weeeweee! Unajua nini kuhusu utajiri wa haraka? Hakuna kitu kama hicho! Kufumba na kufumbua unamiliki mijengo ghorofa maghari ya kifahari! Mxiuuuh! Muulize anayemtumikia!
habari wadau.

ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.

instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.

mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china

View attachment 2941107

mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.

View attachment 2941115

bila kusahau na wadada wengine kazaa wanaofanya hiyo biashara.

funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
 
habari wadau.

ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.

instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.

mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china

View attachment 2941107

mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.

View attachment 2941115

bila kusahau na wadada wengine kazaa wanaofanya hiyo biashara.

funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
Kaka hyo ni biashara kama biashara nyingne dont take that easy hao watu ni wapambanaji kweli kweli na hakuna ujanja ujanja, mpaka kufikia hapo wanastahili
 
Weeeweee! Unajua nini kuhusu utajiri wa haraka? Hakuna kitu kama hicho! Kufumba na kufumbua unamiliki mijengo ghorofa maghari ya kifahari! Mxiuuuh! Muulize anayemtumikia!

utajiri wa haraka kivipi. kibiashara kuwa kwenye game mwaka mzima ama miaka miwili tena kwenye biashara ya manunuzi tu huwezi kusema amepata utajiri wa haraka.

ni ujanja tu wanaufanya hao wadada, maana ukipata watu 1000 wakakuagiza mizigo china ya laki moja kila mmoja maana yake utakusanya hela zao 100,000,000 ( milioni mia moja ),

ukafika china ukatumia milioni 60 kuwanunulia mzigo na kuwasafirishia na kuwapatia. maana yake trip moja umepiga faida ya milioni 40.

imagine kwa hiyo michezo ndani ya mwaka utakuwa umepiga trip ngapi ? na hapo laki moja nimeweka kima cha chini sana . hakuna mtu anaekuagiza mzigo wa laki moja. wengi wanalipa laki 5 ama milioni na kuendelea.
 
uchi ungekuwa unanua ma range na kujenga majengo. warembo wote wangekuwa na hizo mali.

kuna wadada kibao wazuri wamejaa nchi nzima ila hawana chochote. na wengine wameshinda mpaka mashindano ya urembo kuonesha walivyo wazuri. kama uzuri unalipa mbona wazuri wengi hawana maisha

uchi hauwezi kukupa mali zaidi ya hela ya kula, kodi na mavazi. labda kidogo ungesema ndoa na tajiri ningekuelewa. ila sio kuuza uchi. hakuna mwanaume mjinga anaenunua uchi kwa hela za kununua range ama kujenga nyumba. hayupo
Tatizo si uzuri chief. Tatizo ni kujua nani wa kumpa uchi.

Nakwambiaje kama unahisi ni kuagizwa tu nenda na wewe halafu uje utupe mrejesho wa IST tu wala sio Range
 
utajiri wa haraka kivipi. kibiashara kuwa kwenye game mwaka mzima ama miaka miwili tena kwenye biashara ya manunuzi tu huwezi kusema amepata utajiri wa haraka.

ni ujanja tu wanaufanya hao wadada, maana ukipata watu 1000 wakakuagiza mizigo china ya laki moja kila mmoja maana yake utakusanya hela zao 100,000,000 ( milioni mia moja ),

ukafika china ukatumia milioni 60 kuwanunulia mzigo na kuwasafirishia na kuwapatia. maana yake trip moja umepiga faida ya milioni 40.

imagine kwa hiyo michezo ndani ya mwaka utakuwa umepiga trip ngapi ? na hapo laki moja nimeweka kima cha chini sana . hakuna mtu anaekuagiza mzigo wa laki moja. wengi wanalipa laki 5 ama milioni na kuendelea.
Weeee kijana nyamaza! Hujui lolote!
 
Back
Top Bottom