Mrembo Loveness Tarimo anazidi kutrend Instagram, jinsia yake bado kitendawili wengi hawaamini

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,463
21,181
Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake.


Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka koromeo pia limekata kiume.

Loveness anajihusisha na mambo ya body training ,yeye ni body trainer anadai ameshachumbiwa tayari licha ya wanaume kadhaa kumfuata kwa nia ya kutaka penzi kutoka kwake lakini amekuwa akiwakatalia maana tayari ana mpenzi wake na wanapendana sana ,mpenzi wake pia ni mtu wa mazoezi kama alivyo yeye.

Kikubwa ninachompendea Loveness ni majibu yake kwenye interviews kadhaa anazofanyiwa ,majibu yake yapo vizuri sana japo wanaomfanyia hizi interviews wana maswali ya hovyo sana kiasi kwamba angekuwa mwingine si rahisi kuvumilia na kuendelea kutoa ushirikiano.

Pia hata kwenye account yake ya Instagram licha ya watu kadhaa kumdhihaki ila yeye wala hana hiyana ana wajibu kiupendo tu.

1572405384.jpg
-46559039.jpg
-1743394251.jpg
 
Back
Top Bottom