‘Instagram Algorithm’ ni mfumo wa unaotumika kwenye matangazo mbali mbali ya kibishara amabpo mtumiaji huwa analetewa matangazo yale yanayomusu kwankiwango kikubwa kulingana na viashiria mbalimbali (data collection) inavyovipata mtandaoni.
Sasa Tanzania tunaletewa hili tangazo la mfumo wa...
QR Code inaweza kumrahisishia mteja wako kupata taarifa za biashara yako kwa haraka zaidi ukilinganisha na kutafuta kawaida.
Mfano; Unaduka lako, na umechapisha karatasi yenye jina lako la instagram ya biashara kisha ukabandika ili mteja aone, kuna wakati mteja anaweza kukosea herufi moja tu...
Mimi ni kijana umri 26
Napatikana katika moja ya wilaya mkoani Dodoma,
Natafuta mtu mwenye interest ya kuanzisha channel ya YouTube in any niche niko na uelewa na Algorithm ya YouTube inavyoenda nimekosa vifaa kutokana na hali ya maisha ninakotokea,
Kama unamtaji na ulitamani siku moja kufahamu...
Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo.
Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu.
Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo sitautaja kwa jina ila wenyewe unahusu kupeana ushauri, maono na kwa kiasi kidogo kutafuta mwenza awe...
Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka.
Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala
Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi
Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni...
Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi.
Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya...
Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow?
Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake a.k.a SANTA CLAUS anayemfadhili.
2. Dada huko insta anatema shombo na kujidai motivation speaker, shule hamna na akili ya maisha...
Agosti 6, 2024
Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram.
Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
Error. The account verification SMS could not be sent. Please try again later.
Naomba msaada kwenye hili wana JF.
Kila nikijaribu kufanya verification ya account yangu ya Instagram ili nipate blue tick inaniletea hiyo sms.
Wasalaam wapendwa.
Kuna page kama mbili hivi za kupitia instagram nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo.
Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa dhati kabisa kuwa "usioe utakufa kabla ya wkati wako".
Wanawake ni viumbe wakatili sana sikuwahi...
Habari wadau.
Kwa wale mashangazi na wajomba nazani tunajua kwamba miaka 12 iliyopita hakuna aliekuwa anaijua instagram.. facebook ndio ilikuwa inatamba kitambo ikisaidiwa na youtube.
Miaka ya 2013 na 2014 ndipo instagram iliteka kwa kishindo wa Tanzania. Watu wa mwanzo mwanzo kudominate...
Kichwa Cha thread ndio utashi wa Mwenyekiti wa UVCCM Nyamagana kupitia ukurasa wake wa X
Yaani anatangaza Kufungia X kupitia ukurasa wake wa X 😂😂
Ila nimemwelewa ukishafungia X hutaacha itaendelea Kufungia Mitandao mingine yaani ni Sawa na kula Nyama ya mtu 🐼
======
Mwenyekiti wa CCM (Chama...
Mimi nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza kuku muda mrefu ila localy Yani masokoni kwa kununua kwa jumla na kuuza rejareja, katika kutaka kutanua wigo wa soko langu yani kupata wateja wapya nikaona acha nianze kujitangaza kupitia instagram ila huko nako kwa muda niliokaa nimejifunza / nimegundua...
Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi.
Ni mapicha unayaona tu mara mbuzi ameuliwa na amechorwa maumbo na alama tofauti.
Alafu chini ya posts zao...
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali.
Hajui chochote kuhusu business.
For your information Facebook is more better in business than instagram.
Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram.
# Facebook...
Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto.
Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.