gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani?

    Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
  2. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa WASAFI TV na FM sijui wapo kundi gani upande wa tasnia ya habari

    Ni jambo zuri kuwa na ongezeko la vyombo vya habari ila kuongezeka kuna takiwa kuwe na utofauti sana ili ukiangalia au kusiliza unajua kilichokupeleka. Wasafi Tv na FM bado wanashida kwenye kujitofautisha yani uwezi kuelewa wanataka nini kama ni kwa ajili ya burudani,michezo,habari au mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

    Hii ni hadi lini? Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.
  4. JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?

    Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?
  5. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye Twende kazi wadau na maoni yenu
  6. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani huwezi pata TIN number mpaka ufike miaka 18?

    TIN number ni muhimu na bado sijaona sababu yoyote ya mpaka ufike 18. Wataalamu naomba sababu kwanini mpaka 18 years ndio upate.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulikuwa ukikatazwa utotoni na mzazi/mlezi ukahisi sio sawa ila huku ukubwani unashukuru sana kuwa yale makatazo yamekusaidia kuwa mtu bora?

    Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya kinoko kumbe yalikuwa mema sana. 1. Giza likiingia halafu usiwepo nyumbani balaa lake lilikuwa zito...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Expert, naomba kujua ni kampuni gani Ina vyoo imara vya kuchuchumaa

    Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa nikashindwa ninunue vya kampuni gani . Nikasema kwakuwa jamii forum Kuna jukwaa ambalo wapo watu wamesomea...
  9. JamiiForums Tanzania Chuo Gani tofauti na veta chang'ombe wanatoa course ya generator service and repair

    Habari members Naomba kufahamu kama kuna chuo chochote tofauti na veta chang'ombe ambacho wanatoa course ya generator service and repair na vigezo vyao Asante 🙏
  10. JamiiForums Tanzania Vikundi vya Hamasa vina tofauti gani na Chawa wa mama?

    Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu watu wengi kujiita chawa wa mama, ambapo baadae Rais aliongea maneno ambaye nadhani yaliwarudisha nyuma kidogo. Leo, nipo Dodoma kama kawaida, kwenye one and two, tupo na waziri Mkuu hapa, kwa hiyo wamekuja wamama wengi wamevaa t-shirt zenye picha ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni vema tukaelezwa ni kiasi gani DP world inailipa Serikali kwa mwezi?

    Serikali imeipa DP World baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Hili ni jambo jema kabisa. Sasa ni vema Serikali ikahabarisha wananchi wake ni kiasi gani DP World inailipa Serikali kwa mwezi ili tulinganishe mapato ya Bandari kabla haijachukuliwa na DP World na mapato ya DP World...
  12. JamiiForums Tanzania Customer care: Kuna shida kubwa sana kwa makampuni mengi hapa nchini kuwa na poor customer care kwa wateja wake. Toa ushuhuda wako hapa!

    Kama mteja, uliwahi kukumbana na aina gani ya ugumu pale ulipohitaji msaada kutoka kwa huduma kwa wateja?
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

    Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
  14. JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ukiisikia inakupa furaha, mzuka, Amani

    Mimi kama THE BEEKEEPER nikisikiliza nyimbo ya Eminem, not afraid. inanipa mzuka sana wa kufanya harakati zangu za kila siku. Kwako mdau ni ipi?
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuondoa hii message kwenye desktop au pc?

    How to fix this message?
  16. JamiiForums Tanzania Piga Kura: Klabu gani itashinda Champions League 2024?

    Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
  17. JamiiForums Tanzania Mwandishi gani wa habari Tanzania ni wa kariba ya Mohammed Ali wa Jicho Pevu Kenya Rd?

    Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa kilichojulukana kwa jina la JICHO PEVU, na kurushwa na moja ya vituo vya runinga nchini Kenya. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Umri gani sahihi kumjulisha mtoto wa kuasili kuwa ulimuasili?

    Hii inawahusu watoto wanaoasiliwa wakiwa wadogo, kabla ya "kujitambua". Ukiema usubiri mpaka awe mtu mzima ndipo umwambie ukweli, inaweza isiwe sahihi. Kunaweza kumwumiza nafsi kufahamu kuwa kipindi chote alichoishi na wewe hakuwa mwanao wa kumzaa. Ukisema umjulishe angali akiwa mdogo, alu...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

    Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

    Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…