Wanaume mliooa na bado mna michepuko nje mmeoa kwa ajili gani?

Tumeoa ili tuwe na michepuko

Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?

Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?

Ndoa ni fashion?
ndroa ni ngumu drugo zango

ndroa si lelemama, ndroa sio kitu cha mchezo mchezo ni kutu kizito haswaa....

japo mko watu wawili tu ndani..

inahitajika hekima, ustahimilivu na subra ya kipekee sana kuipenda na kufurahia utamu wake na usiweze kubabaika na michepuko...
 
Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?

Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?

Ndoa ni fashion?
hawakujua kwamba ukioa napo kumbe ukiitaka mpk uiombe,asa huo si upuuzi!!!
 
Kuna vitu haviepukiki kwenye ndoa kuna kipindi shetani anaweza kukuletea totozi na ukiomba tu hunyimwi sasa km hutashtuka lazima ndoa yako ife.Mm baada ya kusshtuka tayari na watoto 3 nje ya ndoa kati ya hao wa 3 mmoja nimezaa na mjane mmoja ambaye sio siri huyu kumuacha ni ngumu mpaka wife amesha jishukuru na kukubaliana na hali halisi.Ila kua na michepuko nikutafuta migogoro na bifu na mkeo kwenye ndoa sishauri mtu aendekeze uzinzi wanao kuja kupata shida mtakapo achana na mkeo ni watoto.
 
Watanzania wengi hawana raha kuishi maisha yao tu, wana nyege za ku control maisha ya wengine.

Mtu akiamua kuwa na michepuko mia moja, au asiwe na hata mke mmoja, hayo yote ni sawa.

Ni maisha yake, uamuzi wake.

Mimi inanihusu nini?
 
Kwani nawe ni mchepuko ?
 
Back
Top Bottom