Kuna movies ambazo ni classic kwako. Yani hata kama moja wapo ikiwekwa sasa hivi yani wewe unaiona kama mpya machoni mwako. Hata kama ni ya miaka 50 iliyopita ila bado kwako ni timeless.
Zangu ni:
1: Predator
2: Rambo zote
3: Mission impossible zote
4: Sicario part 1
5: Batman: "Batman...
Habari
Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo toka japan? Nina bajeti hiyo washkaji nipeni ushauri wa kiukweli sio utani. Asante
Katika mahusiano kukosoana hata ikiwa kwa ukali si kumshambulia mpenzi wako, bali ni kuboresha uhusiano wenu.
Lakini hili litafanikiwa pale tu utakapoweka kila kitu pahala pake, sio sehemu ya kukemea unakaa kimya sehemu ya kuongea kwa upole unafokafoka.
Kwa mtazamo wangu dondoo ni hizi hapa...
Hii Channel imenishika sana. Kila jumatano na jumapili lazima niitizame. Ndiyo Jua kai yangu. Channel gani yako pendwa zaidi ya you tube kwa sasa?
https://youtu.be/WEQOhC-kRAE?si=sDEs7bW1MdsxNJmh
Pamoja na baridi kali hapa ila tunavumilia tu sababu ni kesho tu tunarudi zetu Dodoma kwenye hali yetu tuliyozoea.
Amasema alitaka kumuuliza ila kwa sababu za protocol akashindwa, ni kitu gani hicho?.
Hivi wa dada, Katika mahusiano ukiwa unaanza nini kikubwa ndio kitu ambacho unawasiwasi nacho?
Unaogopa kuwa utapotezewa muda, au ni kwamba jamaa ameshakula na amekuacha tu kama mchezo mchezo?
Je ni kweli, wanawake wanaamini kwamba mapenzi huwa addictive, kwamba ukifanyanae mapenzi nae, lazima...
Salaam Wadau,
Nimekuwa nikikutana na barabara mbovu mitaa mingi katika sehemu ninazoishi. Kunaweza kutokea sehemu Kuna dimbwi kubwa au korongo ambalo linaleta changamoto kwa wapitanjia au wenye magari.
Kwa mtaa ninaoishi imekuwa busara tu ya wanakikiji kumwaga vifusi au kuweka mawe ili...
Salaam, Shalom!!
Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI".
Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE...
Habari ndugu
Nilikuwa naomba ushauri wa kitaalam ni generator ya uwezo upi itafaa zaidi kwa matumizi ya nyumba yenye fan(panga boy 4), fridge 2, TV 1, taa za 30w ziko 7, na inverter AC moja yenye 9000BTU hii sio lazima iwashwe.
Karibun ndugu kwa ushauri
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna asiye na adui. Na hakuna ambaye sio adui kwa mwingine. Yaani wewe unavyojiona hapo kuna mtu anakuona ni adui yake. Halikadhalika wapo unaowaona ni maadui.
Unaweza kuwa na maadui kwa Wema wako. Kama vile unavyoweza kuwa na maadui kwa ubaya wako. Adui ni...
Siku ya Redio, huadhimishwa Februari 13 ya kila mwaka kwa lengo la kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika kufikisha Taarifa kwa Jamii
Mwaka 2011, nchi wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ziliitangaza Februari 13 kuwa Siku ya...
Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji?
Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa...
Uamuzi wa kubinafsisha bandari kwa kampuni kama DP World unaweza kuwa na athari kadhaa kwa nchi. Hapa kuna baadhi ya madhara ambayo yanaweza kutokea:
Upotevu wa Udhibiti wa Kimkakati: Kubinafsisha bandari kwa kampuni kutoka nje kunaweza kusababisha upotevu wa udhibiti wa kimkakati wa nchi...
Habari Wadau,
Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa
Soma: Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia
Katika mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.