Michepuo ya arts kama hgl,mchepuo gani
Tafuta shule nzuri na ufaulu vizuri basi, iwe private, government, etc haijalishi kinachotakiwa ni kufaulu vizuri.Msaada jamani
Dah! Kumbe ni hatariMkopo hapatiiii.
Ni kupoteza muda kama atafeli, ila kama akifaulu ni best route to university.Usipoteze mda kwenda 5 na 6 , Haina professional yoyote , tafuta cheti chenye professional, kwa Tz ya kipindi hiki 5 na 6 ni kupoteza mda. Haina thamani tena. Mwanzako anasoma miaka mitatu diploma anauwezo wa kuomba kazi yoyote na akaajilika , lakini six labda ukalime JkT .
Nimesoma private na mkopo nilipataWanamnyima mkopo ati anajiweza
Nimesoma private na mkopo nilipata
Una mawazo ya kimasikini sana.Atatumia hela nyingi za wazazi wake kwa kitu kilekile ambacho angekipata bure kwa shule za umma. Pili kukosa uwezo wa kupambana katika mazingira halisi ya kitanzania kuliko kuandaliwa kila kitu bure na kukalilishwa.
Mkopo ni bahati ya mtu.Enzi za JK au JPM?