Kampuni Gani inatoa bima Bora ya afya kwa mwananchi anayejilipia yeye binafsi?

Ilikuwepo AAR siku hizi wanajiita ASSEMBLE Insurance jaribu kufuatilia.

Kipindi sisi wa NHIF tunanyanyapaliwa na watoa huduma miaka ya 2003 huko,wao walikuwa wanachangamkiwa sana sababu walikuwa wanafanya kazi na kampuni zinazoeleweka eg migodi.
 
Back
Top Bottom