Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

ufumawicha

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
504
209
Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani

JF ni baba wa wataalamu!

Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.

0_KUKU ANAKUNYA KINYESI CHEUPE.jpg
 
homa za matumbo jitahidi usafi wa banda vyombo na chakula, tafuta tylofam na oxyfam wachanganyie kijiko kikubwa kwa kila dawa kwenye maji lita 10 wape mfululizo siku 3 alafu tafuta glucose ya wanayama wape kama siku mbili wanaweza saidika ila usipokua msafi bado itajirudia kama kawaida
 
Nashukuru kwa ushauri,nitaufanyia kazi
 
homa za matumbo jitahidi usafi wa banda vyombo na chakula, tafuta tylofam na oxyfam wachanganyie kijiko kikubwa kwa kila dawa kwenye maji lita 10 wape mfululizo siku 3 alafu tafuta glucose ya wanayama wape kama siku mbili wanaweza saidika ila usipokua msafi bado itajirudia kama kawaida
Namna gani dawa ya "Farma OTC 20% haiwezi kunipunguzia kidogo hilo Tatizo?Maana imeandikwa" for the treatment of fowl typhoid and fowl cholera "
 
nimekuelekeza dawa nilizoshauriwa nikazitumia na zikanipa matokeo nafuga ila sio mtaalamu wa madawa.... labda ufuate ushauri wa wataalamu zaidi wa dawa maana si kila dawa ipo kutibu zingine zipo kibiashara
 
Typhoid ni hatari sana jitaidi sana kama mdau alivyokushauri hapo juu. Pia uwe na routine ya kuchanganya OTC ya unga ata kwenye chakula chao , usafi wa Banda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom