gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna mambo mengine yakijirudia unaweza ukafikiria bado uko ndotoni. Maana kuna baadhi ya ndoto zinajirudia rudia hata kama huzitaki. Wengine wanaita "jinamizi". Zinakuja zinatisha halafu unashtuka unasema "duh hii ndoto hii!". Unarudi kulala unafikiri itapita; kumbe...
  2. AnyWayZ

    SELFORM MIS 2023: Namna gani naweza login/Register kwa mliofanikiwa

    Salaam, Dogo anapitia changamoto anashindwa kulog in katika hizi akaunti zao za Selform ili kuedit Machaguo, kwa mliofanikiwa mmefanyaje maana nimejaribu pia nimeshindwa. Username inayotumika ni ipi na Password ni nini? https://selform.tamisemi.go.tz/Account/Login Karibuni kwa msaada.
  3. PD_Magumba

    Ni jinsi gani earthing (Grounding) kwenye nyumba ya umeme ina complete circuit?

    Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit). Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye complete circuit. Sasa naomba kujua katika lugha ya kawaida kabisa ni jinsi gani ile earth rod kwenye...
  4. S

    Ni hatua gani zinastahili kuchukuliwa endapo Rais atavunja Katiba kwa kukusudia au kutokukusudia?

    Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, kwamba ikiwa iko wazi na dhahiri kabisa kwamba raisi wa Tanzania anaekuwa madarakani, anaamua kwa makusudi na huku akijua hilo, au kwa kushauriwa vibaya, au kwa kutoelewa, anavunja Katiba ya Tanzania (yaani kufanya uamuzi au kuchukua hatua inayoenda kinyume...
  5. ELI COHEN

    Ladies, tofauti na kuulizwa umri ni maswali gani mengine hampendi kuulizwa?

  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kavejuru Felix: Biashara ya Kaboni katika Misitu ya Asili/Kupanda Imechangia kiasi gani kwenye Pato la Taifa

    Mbunge Kavejuru Felix: Biashara ya Kaboni katika Misitu ya Asili/Kupanda Imechangia kiasi gani kwenye Pato la Taifa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali inatarajia kupata wastani wa shilingi trilioni 2.4 kutokana na biashara ya...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Stella Ikupa: Hatua gani zimechukuliwa kwa Halmashauri zisizonunua mafuta ya watu wenye Ualbino

    Mbunge Stella Ikupa: Hatua Gani Zimechukuliwa kwa Halmashauri Zisizonunua Mafuta ya Watu Wenye Ualbino. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Festo Dugange amesema hadi sasa ni halmashauri 41 pekee nchini zilizotenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa mafuta...
  8. J

    Mjadala: Hoja za Wadau kuhusu namna ambavyo Mgawo wa Umeme umeathiri shughuli za Kijamii na Kiuchumi nchini

    Kukatika kwa Umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali Nchini kumeripotiwa kusababisha athari tofauti ikiwemo hasara kwa Wafanyabishara wanaotegemea Nishati hiyo ili kuendesha shughuli zao. JamiiForums kwa kutambua hilo, itaendesha Mjadala kupitia XSpaces, utaogusia Kero zinazotokana na...
  9. JamiiCheck

    Unatumia mbinu gani kujua ukweli wa taarifa unazokutana nazo mtandaoni?

    Kukua kwa utandawazi kumepelekea wimbi la uzwalishwa wa taarifa potofu kuongezeka zaidi licha ya kuwepo tangu awali. Katika kukabiliana na wimbi hili zipo njia mbalimbali ikiwemo kuhakiki chanzo cha taarifa na kuuliza kwenye jukwaa la uhakiki kama hili la JamamiiCheck. Huwa unatumia mbinu gani...
  10. JamiiForums

    Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Habari wadau, Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
  11. Jaji Mfawidhi

    Waandishi wa Habari Tanzania mna matatizo gani?

    Maswali chechefu: 1. Je, gazeti la "Mwanahabari" ni la nani? 2. Je, mwandishi aliyemtaja Naibu Waziri Mkuu, Mhe Dotto Biteko, kama "BITOKE" alikuwa anamuwaza muigizaji EBITOKE? 3. Je, gazeti hili halina Mhariri? 4. Je, gazeti hili linajua kuwa linapaswa kumuomba radhi Mhe Biteko & "Bongolanderz"...
  12. Equation x

    Wakuu, nitumie mbinu gani hichi kikombe cha majukumu kinikimbie?

    Kuna mchepuko wangu wa zamani (shepu matata) alinipigia simu mwezi uliopita, na kunijulisha nimpokee rafiki yake anakuja mkoa niliopo kwa ajili ya kushughulikia mambo yake. Ingawa alinisii, nisimsaliti kwa sababu huyo rafiki yake ni pisi kali; mi nikamwambia haina shida, mi sina madhara kwa...
  13. mkarimani feki

    Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

    Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity. Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu. N.B...
  14. JamiiCheck

    Umewahi kuona jambo gani mtandaoni ukaliamini baadaye ukaja kujua si la kweli?

    Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote. Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya...
  15. Black Butterfly

    KERO Responded DAWASA Mitaa ya Tabata Segerea kuna shida gani, Mbona hatupati Maji wiki ya tatu sasa?

    Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuna shida gani katika jiji hili, mbona matatizo ya maji hayaishi? Mvua ziwepo zisiwepo...
  16. L

    Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  17. Wakili wa shetani

    Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
  18. mtwa mkulu

    Michezo ya Redio: wewe ulisikiliza mchezo gani?

    Mimi nakumbuka 1. Twende na Wakati - Radio Tanzania 2. Pilika pilika - TBC Taifa 3. Wahapa hapa - Radio free Africa Karibu tukumbushane
  19. Stroke

    Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

    Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola. Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi. Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku. Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

    Mimi nimeweka kambi hapa kwa Colgate max fresh, hakika iko vizuri sana. Nilikuwa na tatizo la fizi kutoa damu ila baada ya kutumia hii tatizo limeisha. Tushirikishe wewe huwa unatumia dawa gani unaposwaki meno yako?
Back
Top Bottom