Habari wadau..!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
Hili ni jambo dogo lakini linanihangaisha sana ninapolifikiria.
Askofu Gwajima anahatarisha afya ya Watanzania kwa kukataa chanjo na kuwashajiisha watu wasichanje. Lakini jambo gani litatokea? Askofu Gwajima anashusha hadhi ya Bunge. Hiyo ni kiashiria ya Askofu kufukuzwa ubunge? Askofu huyu ni...
Thursday August 19 2021
Na Daniel Mjema
Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeihitaji isipokuwa ni wanasiasa.
Kundi hilo limeamua kuvaa miwani myeusi...
Wanaukumbi.
CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na...
Habari yako Kijana, Baba, Mama na Dada mwenye haiba ya Upambanaji na mwenye kuhakikisha haukai pasipo kufanya kitu.
Moja kwa moja twende kwenye Mada husika natamani kukusanya hoja na mitazamo ya watu waliofanya vitu tofauti tofauti iwe ni Biashara au aina yeyote ya kitu kinachoweza kutengeneza...
Leo TBC 1 Tv,nimeona Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma amezungukwa na magunia ya mahindi,hakuna soko.
Hii inaashiria nini endapo aliyekuwepo mambo yalikuwa hayohayo? Ukienda mkoa wangu wa Rukwa ni yaleyale.
Tunakosaje sera endelevu ya soko la mahindi Kitaifa?
"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"
Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!
My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mwendelezo wa mivutano kati ya China na Marekani ambayo imeripotiwa mara kwa mara na vyombo vya habari. Marekani imekuwa ikitumia
ujanja wa kutumia upande wa tatu kujaribu kuiyumbisha China au kuingilia mambo ya ndani ya China, na China imekuwa ikifichua...
Mbona hamsomi katiba ya JMT hasa ibara ya 33 na mamlaka ya urais kuongoza taifa la Tanzania?
Head of a state is a head of a state. Msitake kuleta dharau. Mnataka awabembeleze wapinzani ambao sio wazalendo? Acheni dharau.
Mnakaa mnalialia ,mama amebadilika,mama amekuwa dikteta mlikuwa mnataka...
Leo katika kuzurura kwangu nikajikuta naelekea Masaki. Nikiwa ndani ya daladala nikajikuta tunapiga Kinondoni lililo bonde la Mkwajuni nimekuta magari yanapanua ule mto huku mengine yakichota mchanga na kupeleka upande wa pili ya barabara.
Je kuna mradi gani unawekwa pale?
Wakuu Kwema?
Mimi kwa Sasa niko Dodoma kikazi, mnamo ijumaa Usiku alinipigia Jamaa yangu mmoja akaniambia mdogo wake kaja Dodoma kufanya Interview lakini kakosa pa kulala, hivyo anaomba nimu accommodate sababu kashatafuta chumba kakosa. Kwakua alienipigia ni Mshikaji wangu sana nkaona isiwe...
Habari majirani, Huku kwetu Tz Paypal inaruhusu malipo tu, Haiingizi pesa, Hivyo nimeona mbadala ni kuja hapo mpakani ili nisajiliwe line ya Safaricom ambayo hata huku kwetu inafanya kazi maana wana undugu na Vodacom.
Je, ni vitu gani vinatakiwa ili niweze kupata hio simcard?
Asanteni
Habari,
Naomba kujua ni kozi gani ya Certificate au Diploma ambayo nikisoma ndani yake kuna mafunzo ya Ultrasound? Na pia ni vyuo gani wanatoa kozi hiyo?
Natanguliza Shukurani.
Habarini za wakati?
Hivi wewe huwa una mazoea ya kujiunga kifurushi cha muda gani nimeconsider time interval in term of Daily bundle, Is it weekly, or monthly bundle.
Watanzania wengi najua tunaishi kwa mazoea ya aina fulani, we're very lating in exposure and exploits whatever around us.
Najua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.