Mshtuko: Mwanaume hata uishi Miaka Mingi kiasi gani lakini Utakufa na Utamwacha Mkeo akiwa Hai

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,167
20,346
Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.

Kweli wanaume tumeumbwa mateso.

Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaidi wengine.

Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.

Mungu awabariki sana Wanaume
 
Sina maelezo mengi ila nyote mnajionea wenyewe mfululizo wa matukio.

Kweli wanaume tumeumbwa mateso.

Maisha tunahangaika sisi ili familia ziwe na ustawi mzuri wa kuhaki na kiuchumi lakini vyote tunaviacha wanafaid wengine.

Yaani hata ukiishi miaka mingi kiasi gani utajikuta tu lazima Mke wako na Watoto unawaacha.

Mungu awabariki sana Wanaume

Sio wote usikariri
 
Jifunze na hii

Nyuki Dume 'drone bees' wengine huwaita 'nyuki wa mashineni' wale wanaopenda kwenda kusaga na kukoboa mashineni' watanielewa

Nyuki Dume hang'ati maana sio kazi yake kung'ata Ila kazi yake kubwa ni kumpanda nyuki jike au malkia wa nyuki na akishampanda tu na kummwagia shahawa basi anakufa hapohapo
 
Kila chenya advantage kina disadvantage, wanaume wamejaaliwa vitu vingi kuliko wanawake, nguvu, akili, utendaji kazi, mafanikio na vingine vingi...kutokana na mambo haya basi miili na akili zao hutumika sana kuliko wanawake...
Matajiri na wafanyabiashara wengi ni wanaume full stress, Viongozi wa kubwa wa nchi nyingi ni wanaume full majukumu, viongozi wa familia ni wanaume full mateso, madaktari bingwa wengi ni wanaume full ubize, mabondia na wanamichezo wengi ni wanaume full mazoezi, Sasa kweli hawa watu wataishi miaka mingi? hata wanawake ambao wanashikiria nafasi kubwa hufa na kuwaacha wame zao, kama hamuamini ngoja tuone kwa mama samaya lusuhu hanasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom