gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mto Songwe

    Wanaume mliooa na bado mna michepuko nje mmeoa kwa ajili gani?

    Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo? Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa? Ndoa ni fashion?
  2. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu! Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
  3. Meneja Wa Makampuni

    Ubalozi wa Korea ya Kusini upo sehemu gani hapa Dar es Salaam

    Habari wakuu, Nahitaji kufika ubalozi wa Korea ya Kusini mida hii. Naombeni location, nimejaribu kutafuta Google naona picha picha.
  4. Ghost MVP

    Unakumbuka Mchezo gani ukiwa Mtoto?

    Nikiwa mtoto bhana, Nilikuwa napenda sana michezo, moja ya mchezo ni Kuendesha lingi, Kuwinda ndege kwa manati. Kuna ile Unatengeneza gari la mbao na mipira inakuwa kama spring na unaweka kamba mbele na mti inakata hadi kona, na kukata malapa (Kanda Mbili) kama matairi Kingine bhana Niliwahi...
  5. M

    Kuna tofauti gani kati ya TV ya Hisense ya boksi jeupe na ya boksi la kaki?

    Habari za asibuhi wakuu, Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake? Waatalamu wa electronics na wajuzi wengine naomba mnijuze.
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    Ungepewa milioni 12 uwekeze, ungefanya uwekezaji gani? Wafanyabishara waheshimiwe, ajira ni bora zaidi ya biashara

    Wafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto. Nimeelewa kwanini Baba yangu alikuwa ananikazania nisome, biashara sio kwa ajili ya watu dhaifu, ila...
  7. Uhakika Bro

    Je, ndimu za unga zile za dukani ni kemikali gani?

    Naomba kujuzwa na wajuzi👂 Yaani mfano ningeuliza ugali ni kemikali gani unasema ni kabohaidrati (CxHxOx) Sasa je, hii ndimu huwa ni nini. Ile ya unga ya dukani?
  8. K

    Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?

    Naomba mnipe majibu jamani, Kuna hasara gani endapo mtu atasoma form 5&6 (A level) kwa shule za private,?
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Ulipata Hisia gani baada ya wewe na mkeo kupima Ukimwi na kukuta mpo Salama?

    Kwema! Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi. Haya. Embu eleza hisia ulizopata baada ya wewe mkeo kupima na kupata matokeo negative, yaani mpo...
  10. JamiiCheck

    Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
  11. F

    Imekaa namna gani hii wakulungwa

    Mtoto anasema katumwa kuja kucheza. Nyumba aliyotumwa hakuna watoto ni watu age go. Namuuliza anasema mama yake kamtuma aje kucheza. Nikauliza baba yupo? Kakajibu ndio. Je niliyoyawaza mimi Babu Njunju ndivyo au?
  12. KIBUGAmk

    Anataka kuwa mwanajeshi, vitu gani avizingatie?

    Kuna dogo amefeli form four kapata division four ya 30. Anataka aje kujitolea jeshini siku nafasi za kujiunga na JKT zikitoka
  13. R

    Bashe, Tofauti ya Sukari Kutoka Brazil vs itokayo Zambia na Uganda ni ipi?

    Salaam, Shalom!! Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha, Ningependa kujua nini maana ya dharura? Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea viwanda kuwa waagizaji pekee? Kwanini lisitoke tamko la dharura kuruhusu wafanyabiashara kuagiza sukari...
  14. G

    Kwa msimamo wa sasa wa kundi la Yanga, kuna matumaini kiasi gani watafuzu robo fainali ?

    EDIT: Asanteni kwa ufafanuzi, Nimepitwa na sheria za mpira, sikuhizi hawaangalii GD mkifanana point, wanaangalia nani kamfunga mwenzake nyingi 1. AL AHLY - point 9 (goli +4) 2. YANGA - point 8 (goli +4) 3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2) 4. MEDEAMA point 5 - (goli -4) Mechi za kumalizia Al...
  15. KIBUGAmk

    Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Kuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma na degree holder aliye pitia form 5&6?
  16. Powell Gonzalez

    Ni kitu gani ukikisahau lazima ukirudie?

    Moja kwa moja kwenye mada salamu kesho! Hivi ukiwa unatoka kwenda harakati kitu gani ukiwa umekisahau lazima tu ukirudie hata kama umeshadandia boda, umeshawasha gari au kuingia kwenye daladala. Mimi; miwani, aaah glasses lazime nirudi tu aisee.
  17. Z

    Biashara gani naweza kufanya nyongeza kwenye stationery yangu

    Habari, Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme nikajiongezea kipato? Pia ni sehem ipi online ambapo naweza kujifunza graphic design kwa undani??
  18. P

    Hali ya vyoo kwenye shule anayosoma mtoto wako ikoje?

    Wakuu kwema? Katika mambo ambayo wazazi huzingatia kuuliza yakoje shuleni, vyoo huwa havimo na kama kuna wazazi wanauliza basi ni 1%. Katika sehemu zinazoongoza kwa uchafu katika mazingira ya shuleni vyoo ni namba moja ikifuatiwa na canteen. Jamani kuna baadhiya shule vyoo ni vichafu na...
  19. G

    Vyuo vya kati Tanzania ajira zake hutolewa mwezi gani kila mwaka?

    Naomba kuuliza ajira za vyuo vya kati huwa wizara wanatoa mwezi gani kila mwaka.
Back
Top Bottom