elimu

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best!

    Wanabodi, Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika kukabibiliana na tatizo kubwa kama hili ukiwemo uwezo duni wa kutoa elimu ya kueleweka kuhusu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: JamiiForums ndio mtandao bora kwenye utoaji elimu japokuwa wengine waliomba corona ije kupitia hukohuko

    Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini. Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Serikali/ Wizara ya Elimu tafuteni waalimu wa Kiingereza kutoka Uingereza

    Watanzania wote hatujui Kiingereza katika viwango vya 3.5-4 hii ni kutokana na kukaririshwa zaidi sarufi ya Kiingereza kuliko lugha yenyewe/mawasiliano. Serikali inapaswa kugharamia waalimu wageni ambao watakuja kufundisha lugha ya kingereza kwa ufasaha ambapo watatumia mbinu za ufundishaji wa...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

    Wanabodi, Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities. Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
  5. Ashura9

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

    UFAHAMU KWA WENYE MAGARI; Tairi ikizidi miaka mitano haifai kutumika. Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne (4) tu toka yatengenezwe (sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kutoa elimu ya rushwa ya ngono mtaa kwa mtaa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kitengo cha Kupambana na Rushwa ya Ngono, imesema imejipanga kuanza kutoa elimu mtaa kwa mtaa ili kuhakikisha inawafikia watu wa rika zote. Mkurugenzi wa Idara hiyo, Janeth Mawinza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipofungua kikao...
  7. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

    Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima. Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Iko wapi elimu yetu ya 1990-2005?

    Elimu ambayo ukiwa class tree unakuwa una uwezo mkubwa wa kuandika maneno kupitia dictation? iko wapi elimu ya uandishi wa insha mtoto anamaliza class seven ana uwezo mkubwa wa kutunga story za kusisimua kupitia Insha. Sina tatizo na elimu ya nyuma uko yaani sijawataja kwa sababu ndio...
  9. Shaddai

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Wadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ili kundoa usumbufu kwa serikali na CCM, Wizara ya elimu iagizwe kuondoa topiki zinazomfanya mwanafunzi kuwa mchambuzi,masomo ya kuchagua A au B muhim

    Nimetafakari sana na kugundua kumbe ccm hii shida tunayoipata tumeitengeneza wenyewe tangu enzi za mwalimu Nyerere Kipindi cha mzee Nyerere,masomo mengi ya kuhoji mifumo yalifundishwa, na haya ndio shida kubwa kwetu Awamu ya mzee Mwinyi na Mkapa,Benki ya Dunia na mashirika ya kimataifa...
  11. winnerian

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu juu ya Ulipaji wa Kodi zote stahiki za Kampuni baada tu ya kukamilisha Usajili na kuanza biashara

    Naelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka. Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu elimu bure

    Kwanza kabisa naipongeza sana Serikali kuhusu dhana ya Elimu Bure kuanzia elimu ya msingi mpaka Sekondari LAKINI kuna changamoto zinazotakiwa kuangaliwa kwa umaakini sana. Kwanza fedha inayotolewa kwenye shule ni kidogo sana. Leo asubuhi nimesikia kule Shinyanga katika Shule mmojawapo wanapewa...
  13. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na TAMISEMI hamlioni hili? Chukueni hatuaI

    Kwa heshima na taadhima naomba kushauri suala la elimu kwa nia njema maana yake inaenda kuwa chakavu na mbaya kutokana na upungufu mkubwa wa rasilimali watu (waalimu) katika shule nyiingi ukianzia shule ya Msingi mpaka Sekondari. Hali ni mbaya mashuleni kuanzia shule ya msingi kwani kuna...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu itunge kanuni kudhibiti walimu wanaorekodi video wanafunzi maeneo ya mashule, wanakiuka haki zao

    Wizara ipige marufuku walimu wa shule za sekondari na msingi wanaorekodi video na audio za wanafunzi wadogo bila ridhaa yao. Video nyingi zinazorekodiwa na walimu hao zinawadhalilisha watoto hao. Hata kama watoto hao wanakuwa na makosa zipo hatua za kuwaadhibu kwa utaratibu maalumu na sio...
  15. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Chuo Hupambwa na elimu bora, mandhari, hadhi na Warembo. Je, ni Chuo gani chenye Warembo zaidi Tanzania?

    Hlw wana jf tena, Taaluma huenda kando na refreshment na chuo hupambwa na elimu bora, hadhi ya chuo(Status) na pia idadi ya warembo wanaomotivate masomo. kumekua na ubishi wa ushindani wa vyuo juu ya uwepo wa Warembo katika vyuo husika Tuondoe utata chuo gani kina Warembo wengi? Kama mada...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Wilaya ya Uyui, Jacob Makala: Tenda haki na tatua migogoro ya uongozi mashuleni acha kufunika kombe

    Wanabodi habari za asubuhi, Leo naleta malalamiko ya baadhi ya wakuu wa shule za sekondari wilaya uyui! kumhusu Jakobo Makala huyu kama Afisa elimu wa Uyui! Malalamiko makubwa yanatoka kwa Aliekuwa Mkuu wa shule Loya sekondari Ndugu Joseph Nduba! Huyu ndiye alisimamia ujenzi wa sekondari ya...
  17. Numbisa

    JamiiForums Tanzania Maarifa ya Bure

    Kama Ukichukua Tunda Bovu na Ukaweka Kwenye Tunda Nzuri Kipi Kinatokea ?? Fangasi Kwenye Tunda Bovu Itasambaa Mpaka Kwenye Matunda Mazuri na Kuharibu Yote. Hii Inatokea Pale Unapozungukwa Na Watu Wajinga.. Utakua Kama Wao.
  18. DIDAS TUMAINI

    JamiiForums Tanzania Jinsi elimu ya tanzania inavyofuta ujinga bila kuongeza maarifa

    Kalamu ya Baba Askofu Bagonza (PhD) . ELIMU YETU Inafuta Ujinga, Haiongezi Maarifa Duh!! Tanzania yetu inaumwa. Pole sana. Habari mbaya kila wakati. Taifa linaumwa sana. Tuliona Samunge. Walikwenda madaktari, Maaskofu, Mitume, Wanajimu, Maprofesa, na wengine wasiotajwa kirahisi. Mzee wa...
  19. NANDERA

    JamiiForums Tanzania Heko waraka wa Elimu

    Nikiwa na imani kuwa waraka huu wa elimu 2020 ni wa kweli, ninapenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa serikali kwa kuonesha nia ya dhati ya kujali ustawi wa watoto wake. Unyanyasaji wa watoto hasa kwa shule za binafsi umekithiri sana. Watoto hasa wanaoitwa wa madaraasa ya mitihani wamekuwa...
  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wanapaswa kupatiwa elimu ya afya na usalama ili kutohatarisha maisha ya raia

    Muono wa Dunia kwenye Afya na usalama tumepewa jina "SUFURI" kwa maana ya kwamba kupunguza vifo, magonjwa na ajali kufikia asilimia sufuri. Afya na usalama mahali pa kazi ni jambo la muhimu sana ili kuongeza ufanisi, uzalishaji na ubora wa kazi na hili ni lengo mojawapo kwenye Malengo endelevu...
Back
Top Bottom