Wizara ya Elimu itunge kanuni kudhibiti walimu wanaorekodi video wanafunzi maeneo ya mashule, wanakiuka haki zao

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,661
Wizara ipige marufuku walimu wa shule za sekondari na msingi wanaorekodi video na audio za wanafunzi wadogo bila ridhaa yao.

Video nyingi zinazorekodiwa na walimu hao zinawadhalilisha watoto hao. Hata kama watoto hao wanakuwa na makosa zipo hatua za kuwaadhibu kwa utaratibu maalumu na sio kuwadhalilisha watoto husika
Hii itakuwa ni sehemu tu ya ulinzi wa haki za wanafunzi,hasa watoto wadogo,itolewe adhabu kali ikiwemo kufutwa kazi.

Pia soma
> Wito: Walimu endeeleni kurekodi matukio ya wanafunzi watukutuku ili kuwaumbua watu
> Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao
> Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu...
 
Back
Top Bottom