Ningelifuta vyuo vikuu vyote visivyokuwa na sifa ya kuitwa vyuo vikuu.
Ningelitengeneza vyuo vingi vya ufundi yaani VETA huku nikitoa kipaumbele cha hali ya juu kwenye ubunifu wa mitambo ya kutengeneza na kuchakata mazao ya kilimo.
Ningelifuta kidato cha sita badala yake mwanafunzi angemaliza...
We have added 2019 results with analysis. Angalia ujue wanafunzi wangapi walipa A kwenye kiswahili mwaka 2019, au shule mbili zilifanyaje ukiliganisha
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2008
Matokeo ya form four 2008
Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St...
Wanabodi za asubuhi
Nimepitapita kwenye shule za sekondari za Halmashauri ya wilaya ya Uyui Mkoani Tabora na kushudia Wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa chini sakafuni hali inayotia simanzi sana kwa vijana hawa wadogo wanaoanza safari ya masomo!
Utafiti wangu nimeufanya kwa shule...
Mu hali gani wajumbe,
Nawaasa kama una watoto wapo shule au hawajaanza wakazanie wasome kuna mahala ukibahatika unainjoy life hamna kifani unapiga pesa hadi unaona kama unadhulumu wengine kumbe haki yako.
Elima ni njia, elimu ni ufunguo.
Hiyo pesa nalipwa hivyo kwa miezi sita hadi project...
Imeelezwa kuwa fedha hizo zilichangwa kwa ajili ya kununua madawati.
Akizungumza na Nipashe, Mkuu wa Takukuru mkoani hapa, Sosthenes Kibwengo, alisema Ndabazi alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma na alitenda kosa hilo akiwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari Mpwayungu Wilaya ya...
Wadau naombeni kuelimishwa.
Binti yangu kamaliza Form Four kapata Div 1 ya point 10. Alifanya masomo ya biashara na kafaulu vizuri katika masomo husika.
Safari yake ya maisha anataka kuja kuwa Diplomat. Je ni combination gani asome A-level ambayo itakuwa na mchango katika safari yake?
Huu ndio wakati wa kuanza kutumia lugha ya Kiswahili kufundishia katika ngazi zote za elimu nchini
Pamoja na Kiswahili kupitishwa na Sera ya elimu mwaka 2014 bado hakijaanza kutumika kufundishia masomo katika elimu ya upili na elimu ya juu.
Sera ya Elimu ya mwaka 2014 inasema Kiswahili pamoja...
Chama cha Wanasheria wa Kike Visiwani Zanzibar [Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA)] kimeandaa chapisho linalozungumzia Haki za Mwanamke linaloitwa "Haki za Mwanamke kwa Mujibu wa Qur'an na Sunnah za Mtume (S.AW)"
Katika chapisho hilo, inaelezwa kuwa Uislamu umetoa umuhimu kwa binadamu...
Naandika haya kama Mtanzania Mzalendo ambaye ninaamini kabisa kwamba Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe na kwa faida za Watanzania wenyewe.
Ninatambua kwamba katika hili la elimu kunaweza kuwa na mambo mengi sana ila tukubali tukatae "ELIMU YETU INA MATATIZO MAKUBWA SANA"
Baadhi ya...
Jana nimesoma kwenye Youtube ikitaja nchi kumi bora katika Afrika zenye mifumo bora ya elimu.
Nchi zenyewe ni kama ifuatavyo ikianzia na namba
10. Namibia
9. Egypt
8.Cape Verde
7.Kenya
6.Botswana
5.Algeria
4.South Africa
3. Mauritius
2. Tunisia
1.Sychelles.
Naona Tanzania hatumo.
Serikali ya Tanzania imetiliana saini mikataba miwili ya msaada na serikali ya Sweden kwa kupatiwa fedha kiasi cha dola milioni 90 sawa na shilingi Bilioni 240.95 kutoka mfuko wa ushirikiano wa Elimu Duniani GPE.
Akizungumzia msaada huo jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wizara ya fedha na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema ni sa aibu kuona shule za Zanzibar zinakuwa miongoni ambazo hazifanyi vizuri pindi inapofika wakati wa kutangaza matokeo ya Shule za Sekondari.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye uwekaji wa jiwe la...
Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali.
Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii watu wakiwa ,,obsessed” na Elimu ya Sekondari kama nchi zetu za English monarchy i.e Kenya, Uganda na TZ, hakuna mahali pengine Dunia hii Shule za Sekondari hushindanishwa na kutoa mshindi utafikiri football, hakuna mahali Dunia hii eti kuna Mwanafunzi bora...
Kazi ya waziri wa Elimu ni kuwa Mbunifu Tanzania ilipata waziri wa elimu Profesa Juma Kapuya .
Aliposhika uwaziri ubunifu aliobuni ni wa kutaka shule zote za msingi na sekondari za Serikali watoto wa kike wawe wanavaa kiislamu kwa kuvaa vile vifunika uso na akaagiza walimu wakuu wasimamie hilo...
Kengele imepigwa, muhula umeanza vituko vya zima moto kwenye elimu za watoto wa wanaoitwa masikini navyo vimeanza. ni viroja alimuradi kura zipatikane hata kwa kukwiba hapo 2020.
kuna ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo ya sekondary lakini hawajulikani walipo, sijui taarifa za...
Kamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
Kwenye hoja yoyote Kuna aina tatu ya audience Kuna prisoners, graduate na holdermaker. Graduate ni aina ya watu ambao wanajifanya wanajua kila kitu wakati vingine hawajui ukimpempeleka kwenye soka yeye anakuwa kocha ingawa taaluma ya ukocha hana, ukija kwenye siasa anajifanya anaijua siasa...
Ni muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza hili swali, haswa ninapokuwa na kijana Wangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka kumi.
Kuna wakati tupo sebuleni tunasikiliza Redio au TV, na habari inayosikika ni kuhusu Mtoto aliyelawitiwa, Binti aliyepewa mimba, Mwanamke aliyebakwa n.k.
Hapa huwa...
Gender ni jinsia ya kike na kiume. Afrika mtoto wa kiume anapewa nafasi kubwa katika famila tangu akiwa mdogo. Mfano tu mama kunyanyaswa na mumewe kwakua hana mtoto wa kiume.
Kuna familia unakuta wamezaliwa mabinti na wavulana. Imetokea mabinti ndiyo wenye uwezo wa pesa, watasaidia uchumi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.