Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,715
- 11,702
Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.
Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.
Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
Update
Naona katibu mkuu kabadili gia angani, wameifuta ile taarifa ya awali na kuweka nyingine kama inavyo onekana hapa chini. Ni hatari kwelikweli.
Kwa minajili hiyo msimamo wa serikali ni uleule, watoto wa kike wataendelea kunyimwa fursa ya elimu wakipata mimba.
SAD
CC.
Zitto