Nimetafakari sana na kugundua kumbe ccm hii shida tunayoipata tumeitengeneza wenyewe tangu enzi za mwalimu Nyerere
Kipindi cha mzee Nyerere,masomo mengi ya kuhoji mifumo yalifundishwa, na haya ndio shida kubwa kwetu
Awamu ya mzee Mwinyi na Mkapa,Benki ya Dunia na mashirika ya kimataifa...
Naelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka.
Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
Kwanza kabisa naipongeza sana Serikali kuhusu dhana ya Elimu Bure kuanzia elimu ya msingi mpaka Sekondari LAKINI kuna changamoto zinazotakiwa kuangaliwa kwa umaakini sana.
Kwanza fedha inayotolewa kwenye shule ni kidogo sana. Leo asubuhi nimesikia kule Shinyanga katika Shule mmojawapo wanapewa...
Kwa heshima na taadhima naomba kushauri suala la elimu kwa nia njema maana yake inaenda kuwa chakavu na mbaya kutokana na upungufu mkubwa wa rasilimali watu (waalimu) katika shule nyiingi ukianzia shule ya Msingi mpaka Sekondari.
Hali ni mbaya mashuleni kuanzia shule ya msingi kwani kuna...
Wizara ipige marufuku walimu wa shule za sekondari na msingi wanaorekodi video na audio za wanafunzi wadogo bila ridhaa yao.
Video nyingi zinazorekodiwa na walimu hao zinawadhalilisha watoto hao. Hata kama watoto hao wanakuwa na makosa zipo hatua za kuwaadhibu kwa utaratibu maalumu na sio...
Hlw wana jf tena,
Taaluma huenda kando na refreshment na chuo hupambwa na elimu bora, hadhi ya chuo(Status) na pia idadi ya warembo wanaomotivate masomo.
kumekua na ubishi wa ushindani wa vyuo juu ya uwepo wa Warembo katika vyuo husika Tuondoe utata chuo gani kina Warembo wengi?
Kama mada...
Wanabodi habari za asubuhi,
Leo naleta malalamiko ya baadhi ya wakuu wa shule za sekondari wilaya uyui! kumhusu Jakobo Makala huyu kama Afisa elimu wa Uyui!
Malalamiko makubwa yanatoka kwa Aliekuwa Mkuu wa shule Loya sekondari Ndugu Joseph Nduba! Huyu ndiye alisimamia ujenzi wa sekondari ya...
Kama Ukichukua Tunda Bovu na Ukaweka Kwenye Tunda Nzuri Kipi Kinatokea ?? Fangasi Kwenye Tunda Bovu Itasambaa Mpaka Kwenye Matunda Mazuri na Kuharibu Yote. Hii Inatokea Pale Unapozungukwa Na Watu Wajinga.. Utakua Kama Wao.
Kalamu ya Baba Askofu Bagonza (PhD) .
ELIMU YETU
Inafuta Ujinga, Haiongezi Maarifa
Duh!! Tanzania yetu inaumwa. Pole sana. Habari mbaya kila wakati. Taifa linaumwa sana.
Tuliona Samunge. Walikwenda madaktari, Maaskofu, Mitume, Wanajimu, Maprofesa, na wengine wasiotajwa kirahisi. Mzee wa...
Nikiwa na imani kuwa waraka huu wa elimu 2020 ni wa kweli, ninapenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa serikali kwa kuonesha nia ya dhati ya kujali ustawi wa watoto wake. Unyanyasaji wa watoto hasa kwa shule za binafsi umekithiri sana. Watoto hasa wanaoitwa wa madaraasa ya mitihani wamekuwa...
Muono wa Dunia kwenye Afya na usalama tumepewa jina "SUFURI" kwa maana ya kwamba kupunguza vifo, magonjwa na ajali kufikia asilimia sufuri.
Afya na usalama mahali pa kazi ni jambo la muhimu sana ili kuongeza ufanisi, uzalishaji na ubora wa kazi na hili ni lengo mojawapo kwenye Malengo endelevu...
WB wamesitisha mkopo kwa Tanzania. Lakini baadaye nimemsikiliza ZZK anasema mkopo huo ulilenga kujenga mashule ikiwemo kukarabati shule zilizopo.
Lakini tathmini ya mazingira ya walimu kuanzia nyumba, mishahara na mafunzo ya kujiendeleza vyote vipo ovyo kabisa!!
Swali ni:
Je, tuendelee kupaka...
KAMPALA:
Taasisi ya Kuandaa Masomo na mfumo wa Elimu nchini Uganda imetangaza rasmi kubadilisha mfumo wa Elimu National Curriculum Development Centre (NCDC) nchini humo kwanzia Februari mosi.
Akiwasilisha mabadiliko haya Mkurugenzi wa NCDC Bwana James Aisle Droti, ametangaza maridhiano ya...
Amani iwe kwenu!
Kwa mfumo wetu wa sasa wa elimu mwanafunzi anaanza darasa la kwanza akiwa na miaka 7, anasoma elimu ya msingi kwa miaka 7, akifaulu anaenda sekondari kwa miaka 4, akifaulu anasoma sekondari ya juu miaka 2 na akifaulu anaenda chuo miaka 3 (au zaidi kwa baadhi ya fani). Kwa...
Wakuu mtakuwa mashahidi, elimu siku hizi duniani imerahisika sana.
Sio vita tena, bali ni kutoana ujinga tu kisha kila mmoja apambane na hali yake akiishafika huko mitaani.
Sasa kumtaka mtu kwa siku moja ajibu maswali ya vitu alivyojifunza kwa miaka minne ni utamaduni uliopitwa na wakati...
Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu...
Elimu imekuwa ya mateso kwa wanafunzi, walimu na serikali kwa ujumla. wazazi wamekuwa walevi wamedumaa hawafikirii tena kupambana hata kupata ile elfu 20 tatu vitu vya bure havina uchungu hata kidogo wazazi sasa wamewatelekeza watoto na kuacha majukumu yao nashauri serikali warudishe karo...
Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!?
Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu.
Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi?
Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira?
kwanini wasijisomeshe kwa...
Je, wewe ni mmiliki wa shule, Kampuni binafsi au NGO,
Je, unahitaji kujipatia huduma mojawapo kati ya hizi au zote kwa pamoja?
Websites,
Android Apps,
Domain Names,
ERP system
Accounting system
CRM system
SEO services
Online Promotion
Je, budget yako ni kati ya TZS 49900 na kuendelea?
Kama...
Wanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu.
Wanaanza kwa kueleza kuwa kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura mwaka jana Karugutu aliwalazimisha walimu wa saini hela ya chakula 15,000/= kwa maana ya kifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.