elimu

  1. Kassimu Mchuchuri

    JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
  2. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Nina MASTERS sina Form 4 Ninaweza Kuajiriwa Serekalini?

    1. Wazo lililokujia kwanza baada ya kusoma kichwa cha habari hiki (cha kufikirika) ni: utapataje Masters bila kupitia Form Four? NDIYO HAPANA 2. Mtoto anazaliwa mjinga. Anapopelekwa Day Care au Chekechea ndipo huanza kupata elimu. NDIYO HAPANA 3. Wanafunzi wa Kiafrika wakipewa uhuru mkubwa...
  3. Director Chuma

    JamiiForums Tanzania Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

    Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa karibuni sana
  4. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Education need an update similar to operating systems.

    Education seriously needs an update, It still teaches us the things that have already been made easier to do. It feeds in information instead of bringing out ideas. Creative education is almost gone, nobody talks about creativity and innovation. If a doctor gives the patient of cholera, the...
  5. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wizara ya elimu inafanya majaribio hatari kwa elimu ya watoto wetu?

    Mwaka 2016 kulitolewa sera na muongozo mpya wa elimu ya msingi. Mitaala ikabadilishwa na kutolewa maelezo kwamba elumu ya msingi itaishia darasa la 6 badala ya darasa la 7 kama zamani. Wazazi, wanafunzi na shule wote wakajiandaa na jambo hilo ikiwemo kuhusu plani ya bajeti namna watakavyo...
  6. Thom Munkondya

    JamiiForums Tanzania Surveyormunkondya sasa nipo jamiiforum kwa ajili ya elimu juu ya masuala ya ardhi

    Ahsante sana ndugu zangu kwa kuniomba nijiunge jamiiforum ili pia niweze kuendelea kutoa elimu juu ya masuala mbali mbali ya ardhi. Na sasa nimejiunga rasmi na jukwaa hili kwa ajili ya kuendelea kuwaelimisha watanzania wenzangu ili kuepukana na matatizo mbali mbali ya ardhi kama; -kununua eneo...
  7. Director Chuma

    JamiiForums Tanzania Darasa la VIDEO PRODUCTION kwa Lugha ya Kiswahili

    Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma) Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu Kama...
  8. southern boy

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza App Kwa ajili ya kusaidia watoto katika somo la hisabati

    Habari humu!! Hi post pia nimeiwekena kule kwenye jukwaa la technology sababu pia inahusu masula ya technology. Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia mzazi/mlezi/mwalimu/kaka/dada kumpa mtoto mazoezi kwenye somo la hisabati mda ambao upo busy na...
  9. southern boy

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza App Kwa ajili ya kusaidia watoto katika somo la hisabati

    Habari humu!! Hi post pia nitaiweka na kule kwenye jukwaa la elimu sababu pia inahusu masula ya elimu. Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia mzazi/mlezi/mwalimu/kaka/dada kumpa mtoto mazoezi kwenye somo la hisabati mda ambao upo busy na shughuli...
  10. jajithebest

    JamiiForums Tanzania Namchukia Dr. Shukuru Kawambwa

    Salaam Wanajamvi Mimi ni mwanafunzi wa Thaqaafa Mwanza, kiukweli waziri wa elimu namchukia Sana pamoja na baraza la elimu hiii. Ni kwa sababu ya kuharibu mfumo mzima wa elimu na kutuletea BRN Viongozi wengi unakuta wakijinadi katika majukwaa Kwamba Serikali imejenga shule maabara za kutosha...
Back
Top Bottom