Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,395
- 3,899
Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.
Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na mateso makubwa badili mfumo wa Sera zako zijikite kwenye mazingira halisi ya nchi yetu inayohitaji. Maji, umeme, afya bora uonevu tunaofanyiwa wananchi wa kunyimwa huduma za msingi za kijamii ndo tunaotaka uukemee.
Mheshimiwa Tundu Lissu unaosema wameonewa ni wale ambao wanatuibia na kutuoñea wananchi sisi wananchi tumeteseka muda mrefu tumepata Rais Magufuli anayewabana unaowaita wanaonewaa kwa manufaa ya ya wengi masikini wanaopita kwenye barabara mbovu wanaokunywa maji machafu hawa Magufuli ameamua kula nao sahani moja.
Kaeni na Chama chenu mudraft upya Sera zako Sera ulizooñgea ni dhaifu sana to be the Head of state.
Tuambie mambo ya kuijenga nchi lakini Personal attack zako kwa kweli hafu za uongo na kutunga ukipata kura hats laki moja kati ya wapiga kura una bahati. Umewaangusha wafuasi wako wamenywea, weakest speech ever.