Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 698
Habarini za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku.
Wakuu nina swali, ni topic ambayo naifanyia utafiti. Topic inasema hivi, "Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?" Maana hata tukisimuliwa habari za kuloga lazima tutaambiwa mbibi fulani ndio ameroga. Tukisimuliwa habari za kuloga mume hata hapa jamii forum wapo.
Naombeni majibu wakuu