Elimu/Shule ya mahaba matata uliipata wapi?

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,222
36,239
Habari za jioni.

Kizuri kula na wenzio.

Ukiguswa tafadhali elezea ulijifunzia wapi mambo ya Mahaba yaani utundu na ufundi wa 6*6.
Acha kujua kuchomoa na kuchomeka laah hasha ujuzi na ufundi yaani umaridadi bin ubunifu bin sanaa ya mapenzi.
Ulizaliwa nayo? Ulirithishwa? Au mpaka leo hujui kitu zaidi ya kuchomeka/kuchomekwa na kuchomoa kama kisu kwenye ala yake?

Kwa upande wangu nilijifunza Mahaba kupitia majarida, simulizi (riwaya) na vitabu. Nilikiwa napenda sana kusoma, na nikishika kitabu au jarida au riwaya yenye kuelezea scenes za mapenzi ntasomaa mwanzo hadi mwisho bila kukatisha.

Kupitia kusoma nilijifunza kukata viuno ni kichocheo kwenye ufundi, kuwa mwepesi na si kulala kama gogo, kuwa tayari kuelekea upande wowote nnaoelekezwa, namna ya kupangilia sauti ya kwanza hadi ya 18 nakadhalika wa kadhalika.

Kilichonifikirisha kuanzisha huu uzi ni baada ya kusoma memba mmoja humu alifundishwa kufanya mapenzi na dada yao wa kazi. Nikapata maswali yasiyo na majibu, alifundishwaje? Alikuwa anaelekezwa cha kufanya anafanya au yeye (kijana) ndo alikuwa anashughulikiwa?

Angalizo: ukiona mahaba yamekuwa mengi nipotezee tuu bin kuupotezea uzi.

K' Matata.
 
majarida simuulizi riwaya hazitoshi

"Practice make it perfect"

Njoo tupige field for 1 month
 
majarida simuulizi riwaya hazitoshi

"Practice make it perfect"

Njoo tupige field for 1 month


Hahahaaahahaa umenikumbusha wakati nafanya field nikiwa msaka wa kwanza chuo pale STAMICO kuna mkaka aliniambia ukimaliza field use unakuja kwangu nikuelekeze kazi za field vizuri ukirudi chuo utafaulu sana. Alikuwa hajaoa, nikamuitikia Sawa kaka ntakuja....

Ila baada ya field ya mwezi mmoja nikianza kuonana uvivu kubeba pochi yangu uwe unanibebea... Na nikianza kusikia harufu ambazo sizipendi uwe unaziondoa ili nisikose hewa..niheme vizuri...aahahahaaa.
 
Back
Top Bottom