Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,521
- 3,418
Leo nimejaribu kupita katika kituo kimoja cha Afya na nilichokiona ni msisitizo mkubwa wa uvaaji wa Barakoa huku zikiuzwa mlangoni kiholela lakini shida yake kubwa ni mikanda yake ya masikio kuwa mifupi kiasi cha kupata masikio ya watu na kuyabinua kama ya punda.