Enyi wajuzi wa Sheria mtupe elimu katika hili

qaswida mix

Senior Member
Mar 24, 2019
122
225
Mwizi kaingia ndani ya nyumba ya mtu kuiba majirani tukaona tukafunga mlango kwa nje.

Mwizi akataka kuvunjja mlanngo akapanda juu akachana bati akutokea juu akaanza kukimbia, Wananchi wenye hasira kali wakampa kipigo tukajitahidi kuwazuia tukafanikiwa mwenyewe.

Mwenyewe alipewa taarifa akarudi kufika akataka kumsurubu tukamzuia, mjumbe akawa amefika akapelekwa polisi sasa polisi wanasema muibiwa amtibie kwanza ndo kesi iendelee

Je, ni sahihi?

Nitafurahia majibu toka kwenu
 

LIKE

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
4,716
2,000
una bahati

wenzio wanaambiwa watoe gharama za matibabu na kuhudumia familia hadi apone, ndio kesi iendelee na akifa unapewa murder

na ukiona hivyo lao ni moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom