Halo wadau wa JF.
Kuna tetesi nimezinasa kuwa serikali ina mpango wa kuwanyima posho walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata. Madai ya serikali ni kuwa hawa watu hawapo kazini ktk kipindi cha likizo isiyo rasimi au likizo ya corona.
Lengo ni kuwa posho zao zielekezwe kuikabili eti...
Nianze kwa kuipongeza serikali na mamlaka husika kwa kutilia mkazo suala la kuweka vifaa vya kunawia mikono karibu katika maeneo yote ambayo watu wanaingia. Utekelezaji wa hili umekua mkubwa na kwa sasa maeneo mengi sana wameweka vifaa vya kunawia mikono.
Kilichofanya niandike uzi huu, ni...
OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imeomba bajeti ya Sh trilioni saba kwa mwaka 2020/21 huku ikijikita kuboresha mfumo wa elimu na afya.Akiwasilisha bajeti hiyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, alisema...
"Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona...
Karne hii ya kidigitali wizara hii inafanya ? Vifaa vipo, walimu wapo wa kurekodi, nini shida?
Kwa kila topiki tena na nyenzo za kufundishia
Hii Wizara iamke usingizini
Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa.
Soma waraka wao huu...
TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU.
1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua tunafahamiana, pia hakuna watoto wa mitaani huko kama mjini.
2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au...
Dr Faustine Ndungulile ambaye ni Naibu Waziri wa Afya ameipongeza na kuishukuru Jf kwa uchambuzi makini na kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Corona .
Hii ni heshima kubwa sana kwa Wanachama wote wa JF
Wito: Tuendelee kuelimisha wananchi wenzetu namna bora ya kujikinga na Corona .
Mungu...
Wasalaam ndugu.
Natafuta kazi..
Nina elimu ya form 4 niliyoipata Azania secondary school.
Elimu ya kidato cha sita nimeipata Kibasila High school.
Ninauwezo wa kutumia computer kwa ufasaha na kuchapa kazi kwa kutumia Ms word na Ms Excell.
Nina uwezo wa kuandika muswada wa filamu(script...
Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo wa maji?
Au ni wangapi wamefikiwa na mfumo huo wa maji? Je, watanzania wangapi wanamudu aina ya...
Wanabodi,
Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika kukabibiliana na tatizo kubwa kama hili ukiwemo uwezo duni wa kutoa elimu ya kueleweka kuhusu...
Mwandishi wa habari nguli na mwanasheria Pascal Mayalla amesema mtandao wa JamiiForums ndiyo bora katika utoaji elimu pamoja na kwamba kuna baadhi ya members waliomba Corona ije nchini.
Mayalla alikuwa anaongea katika kipindi cha Jicho Letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star TV...
Watanzania wote hatujui Kiingereza katika viwango vya 3.5-4 hii ni kutokana na kukaririshwa zaidi sarufi ya Kiingereza kuliko lugha yenyewe/mawasiliano.
Serikali inapaswa kugharamia waalimu wageni ambao watakuja kufundisha lugha ya kingereza kwa ufasaha ambapo watatumia mbinu za ufundishaji wa...
Wanabodi,
Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities.
Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
UFAHAMU KWA WENYE MAGARI;
Tairi ikizidi miaka mitano haifai kutumika.
Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne (4) tu toka yatengenezwe (sio toka uyafunge kwenye gari yako).
Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kitengo cha Kupambana na Rushwa ya Ngono, imesema imejipanga kuanza kutoa elimu mtaa kwa mtaa ili kuhakikisha inawafikia watu wa rika zote.
Mkurugenzi wa Idara hiyo, Janeth Mawinza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipofungua kikao...
Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.
Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima...
Elimu ambayo ukiwa class tree unakuwa una uwezo mkubwa wa kuandika maneno kupitia dictation? iko wapi elimu ya uandishi wa insha mtoto anamaliza class seven ana uwezo mkubwa wa kutunga story za kusisimua kupitia Insha.
Sina tatizo na elimu ya nyuma uko yaani sijawataja kwa sababu ndio...
Wadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.