MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,751
- 48,396
Jana Rais Magufuli alihutubia kongomano la walimu waliosongamana na kupumuliana full mijasho bila tahadhari yoyote kama wanavyoonekana kwenye hii picha, hamna cha barakoa au kuzingatia umbali wa kila mmoja, hawa hapa ndio utategemea wawe na kauelewa kiaina kuhusu sayansi na masuala ya kirusi, lakini wenyewe ndio wamedhihirisha weupe "kumkichwani" sembuse makajamba wa Tandale ambao hukesha wakijibizana humu JF na kutetea kila ujinga.
Nahisi Tanzania imefanya tathmini na kuona kwamba kwa vile wamezaliana sana (milioni sitini) hivyo hata wakiachia wafe, kirusi hakitakua na uwezo wa kulamba asilimia kubwa kwao, maana hata Marekani wanaopukutika maelfu kwa siku bado namba zinachezea kwenye laki moja, hivyo ukiwatia rehani elfu kadhaa za raia ili kunusuru uchumi haitakua balaa sana.